Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RUFAA YA MBOWE NA WEZAKE KUANZA KUSIKILIZWA MEI 13,2020

RUFAA iliyokatwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake saba katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kupinga hukumu dhidi ya kesi ya uchochezi na mashtaka mengine iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, itaanza kusikilizwa Mei 13, mwaka huu.
Kesi hiyo iliitwa leo Aprili 23, 2020 kwa ajili ya kutajwa mbele ya Jaji Mfawidhi, Lameck Mlacha ambaye pamoja na mambo mengine ameahirisha kesi hiyo hadi Aprili 28, mwaka huu huku pia akipanga ianze kusikilizwa Mei 13 mbele ya Jaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CHADEMA Blog

Mahakama ya Rufaa kutoa uamuzi rufaa ya Jamhuri dhidi ya Mbowe na Matiko

Mahakama ya Rufani leo imeketi kusikiliza hoja za wakata rufaa (Jamhuri) na wakatiwa rufaa (utetezi) kwenye maombi ya rufaa namba 344  yaliyopo Mahakama Kuu kuhusu kufutiwa dhamana kwa washtakiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (Mb) na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko. Upande wa Jamhuri umeiomba Mahakama ya Rufaa kuamuru maombi hayo 344 yatupiliwe mbali na Mahakama Kuu kwa sababu

 

9 years ago

GPL

RUFAA YA PISTORIUS KUSIKILIZWA NOVEMBA 3 MWAKA HUU

Oscar Pistorius akiwa mahakamani. Baba mzazi wa aliyekuwa mpenzi wa Pistorious, Reeva Steenkamp, Barry Steenkamp akiambatana na mkewe, June wakati wa kusikiliza kesi ya mkwe wao. Pistorius akiondoka Mahakama Kuu ya Afrika Kusini Oktoba mwaka jana baada ya kusikiliza kesi yake. Pistorious and aliyekuwa mpenzi wake Reeva…

 

10 years ago

Vijimambo

RUFAA YA CHEKA KUSIKILIZWA DAR-ES-SALAAM FAILI LA KESI YAKE KUTUA SIKU YEYOTE

Baba wa Francis Cheka akiwa na majonzi baada ya mtoto wake kuhukumiwa kwenda magereza miaka mitatu.Mkakati wa kumkatia rufaa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka, bado unaendelea ambapo kwa sasa faili la hukumu ya kesi yake linatarajia kutua jijini Dar katika Mahakama ya Rufaa siku yoyote.Cheka anatumikia kifungo cha miaka mitatu baada ya kupatikana na hatia ya shambulio la kudhuru mwili dhidi ya meneja wa baa yake, Bahati Kibanda, lililofanyika Julai 2, mwaka jana.
Mmoja wa memba...

 

10 years ago

Habarileo

Kesi Bunge Maalum kuanza kusikilizwa leo

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo inaanza kusikiliza kesi ya Kikatiba, iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari, Saidi Kubenea akihoji mamlaka ya Bunge Maalumu la Katiba, linaloendelea mkoani Dodoma.

 

9 years ago

Mwananchi

Mbowe ashinda rufaa dhidi ya hukumu kesi ya shambulio

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Moshi leo imeifuta hukumu iliyomtia hatiani Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe na kuamuru arejeshewe Sh1 milioni alizolipa kama faini.

 

9 years ago

Mwananchi

Mbowe akata rufaa mahakama kuu dhidi ya hukumu yake

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe amekata rufaa Mahakama Kuu kupinga hukumu iliyotolewa dhidi yake Julai, mwaka huu, na kumtoza faini ya Sh1 milioni baada ya kupatikana na hatia katika kosa la jinai.

 

11 years ago

GPL

MAFUNZO YA WALIOFELI KUANZA MEI 26

Stori: mwanDISHI WETU MAFUNZO maalum kwa vijana waliofeli mtihani wa kidato cha nne mwaka jana, wamehimizwa kuchukua fomu za kujiunga na Chuo cha Mlimani Professional School of Studies kwani masomo rasmi yanatarajiwa kuanza Mei 26, mwaka huu. Kwa mujibu wa mkuu wa chuo hicho, Hassan Ngoma, wanatarajia kutoa mafunzo ya kozi mbalimbali ambazo zitamwezesha mwanafunzi kujiajiri katika nyanja mbalimbali kusaidia kupunguza idadi kubwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Bajeti kuanza Mei 6

MKUTANO wa Bunge la Bajeti ya mwaka 2014/2015 utaanza Mei 6 hadi Juni 27, mwaka huu mjini Dodoma huku bajeti kuu ya Serikali ikitarajiwa kusomwa Juni 12. Hayo yalielezwa bungeni...

 

10 years ago

Vijimambo

MAONYESHO YA TANO YA HOMES EXPO KUANZA MEI 29

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya EAG group, Zenno Ngowi akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu maonyesho ya tano ya Tanzania Homes Explo yatakayoanza Mei 29 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Masoko wa kampuni hiyo, Hellen Mangore na Ofisa Masoko Mkuu, Richard Ryaganda.  (Picha na Francis Dande) 
.................................................ZAIDI ya Kampuni 70  hapa nchini kwa kushirikiana  na nchi jirani,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani