Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rufaa ya Oscar Pistorious yatupwa

Mawakili wa mwanariadha mlemavu wa Afrika kusini Oscar Pistorius anayehudumia kifungo jela wamepoteza kesi ya rufaa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Oscar Pistorious arejea mahakamani

Kesi ya mwanaradha maarufu Oscar Pistorious anayeshutumiwa kwa mauaji ya mpenzi wake imeanza tena katika mahakama mjini Pretoria

 

10 years ago

BBCSwahili

Oscar Pistorious kuachiliwa, August.

Wakuu wa magereza Nchini Afrika Kuisini wamesema kuwa Oscar Pistorius, ataachiliwa kutoka gerezani mwezi Agosti .

 

9 years ago

Bongo5

Hatimaye Oscar Pistorious atolewa jela

Mwanariadha mlemavu wa Afrika kusini, Oscar Pistorious ameachiwa kutoka jela Jumatatu usiku Oct.20. Pistorious ambaye alikaa jela kwa takribani mwaka mmoja, atamalizia kutumikia kifungo kilichobaki nyumbani kwa mjomba wake jijini Pretoria. Oscar Pistorious (28) alihukumiwa kwenda jela miaka mitano kwa kosa la kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp mwaka 2013. Source: BBC Jiunge na Bongo5.com sasa […]

 

5 years ago

Michuzi

RUFAA YA DC CHEMBA, YATUPWA AAMRIWA KUTOA MATUNZO YA MTOTO

Na Karama Kenyunko, Michuzi TVMAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, Imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Mkuu wa wilaya ya Chemba Simon Odunga kupinga hukumu ya Mahakama ya Mwanzo Ukonga iliyoamuru Odunga kutoa Sh. Milioni saba kama sehemu ya gharama ya matunzo ya kumsomesha mtoto wake.
Uamuzi huo umetolewa leo Aprili 29, 2020 na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Glory Nkwera ambaye amekazia hukumu hiyo na kumtaka Odunga kutoa kiasi hicho cha fedha Kama ilivyoamuliwa na...

 

10 years ago

GPL

RUFAA YA OSCAR PISTORIUS YATUPILIWA MBALI

Mwanariadha Oscar Pistorius. JAJI Thokozile Masipa ametupilia mbali rufaa ya mwanariadha anayehudumia kifungo cha miaka mitano jela kwa kumuua mpenzi wake, Oscar Pistorius huko Afrika Kusini. Oscar Pistorius akiwa na Reeva Steenkamp. Rufaa hiyo iliwasilishwa na makili wa mwanariadha huyo ambaye ni mlemavu wa miguu.…

 

10 years ago

GPL

JAJI AKUBALI RUFAA DHIDI YA OSCAR PISTORIUS

Mwanariadha Oscar Pistorius. MAHAKAMA nchini Afrika Kusini imemruhusu kiongozi wa mashitaka, Gerrie Nel kukata rufaa dhidi ya hukumu ya Oscar Pistorius baada ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Kiongozi wa Mashitaka, Gerrie Nel. Kesi hiyo, sasa itaanza kusikiliza katika mahakama ya juu zaidi upande wa mashitaka ukitaka Pistorius ahukumiwe kwa kumuua mpenzi wake kwa makusudi.… ...

 

5 years ago

CHADEMA Blog

Mahakama ya Rufaa kutoa uamuzi rufaa ya Jamhuri dhidi ya Mbowe na Matiko

Mahakama ya Rufani leo imeketi kusikiliza hoja za wakata rufaa (Jamhuri) na wakatiwa rufaa (utetezi) kwenye maombi ya rufaa namba 344  yaliyopo Mahakama Kuu kuhusu kufutiwa dhamana kwa washtakiwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (Mb) na Mbunge wa Tarime Mjini, Ester Matiko. Upande wa Jamhuri umeiomba Mahakama ya Rufaa kuamuru maombi hayo 344 yatupiliwe mbali na Mahakama Kuu kwa sababu

 

9 years ago

BBCSwahili

Pistorious kuachiliwa Ijumaa

Mwanariadha mshindi wa nishani ya dhahabu ya Olimpiki katika raidha Oscar Pistorius ataachiliwa kutoka gerezani ijumaa wiki hii.

 

9 years ago

BBCSwahili

Pistorious aondoka gerezani

Oscar Pistorius, ameruhusiwa kuondoka gerezani , mwaka mmoja tu baada ya kufungwa jela kwa kosa la kuua bila kukusudia ,Reeva Steen-kamp.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani