Hatimaye Oscar Pistorious atolewa jela
Mwanariadha mlemavu wa Afrika kusini, Oscar Pistorious ameachiwa kutoka jela Jumatatu usiku Oct.20. Pistorious ambaye alikaa jela kwa takribani mwaka mmoja, atamalizia kutumikia kifungo kilichobaki nyumbani kwa mjomba wake jijini Pretoria. Oscar Pistorious (28) alihukumiwa kwenda jela miaka mitano kwa kosa la kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp mwaka 2013. Source: BBC Jiunge na Bongo5.com sasa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Mar
Rufaa ya Oscar Pistorious yatupwa
11 years ago
BBCSwahili04 Mar
Oscar Pistorious arejea mahakamani
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Oscar Pistorious kuachiliwa, August.
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Cheka atolewa jela, apewa kifungo cha nje
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
BONDIA nguli nchini, Francis Cheka, jana alitolewa rumande na kupewa kifungo cha nje, huku akitakiwa kuripoti katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mjini kila siku kwa ajili ya shughuli za kijamii.
Februari 2, mwaka huu, Mahakama ya Hakimu Mkazi ya mkoani hapa ilimhukumu Cheka kifungo cha miaka mitatu kwenda jela na faini ya Sh milioni moja, baada ya kumshambulia na kumdhuru meneja wa baa yake, Bahati Kabanda, kosa alilofanya Julai 2, mwaka jana.
Hatua...
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Oscar Pistorius apandishwa hadhi jela
10 years ago
BBCSwahili21 Oct
Miaka 5 jela kwa Oscar Pistorius
9 years ago
Bongo515 Oct
Oscar Pistorius kutoka jela Jumanne ijayo
10 years ago
StarTV21 Oct
Oscar Pistorius atupwa jela miaka mitano.
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.
Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp mwaka uliopita.
Jaji anayetoa hukumu hiyo,Thokozile Masipa,alianza kutoa kauli yake ya mwisho kabla ya kutoa hukumu saa mbili na nusu asubuhi na akasema ni changamoto kubwa kwake kupata adhabu ambayo itaridhisha pande zote kwenye kesi hiyo.
Upande wa...
10 years ago
BBCSwahili13 Oct
Kesi ya Pistorious ni leo