Rungu la Yesu ft. Bishop Nickodemus Shaboka Jr - ILIKUWA ZAMANI (officia...

Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili24 Dec
Je sura halisi ya Yesu ilikuwa ipi ?
Uso wa Yesu umechorwa zaidi ya nyuso zote duniani, na anatambulika kila mahali na wasanii wa kizungu kama jamaa aliyevaa kanzu, ana kidevu kirefu sawa na nywele.
5 years ago
BBCSwahili04 Jun
'Bangi ilikuwa ikichomwa wakati wa ibada' na Waisraeli wa zamani - utafiti unasema
Mabaki ya bangi yamepatikana katika madhabahu yaliopo katika hekalu lililopo jangwani nchini Israel.
5 years ago
BBCSwahili12 Jun
Thomas Thabane: Waziri Mkuu wa zamani wa Lesotho 'alilipa majambazi kumuua mke wake wa zamani''
Stakabadhi zilizowasilishwa mahakamani na polisi zanaelezea jinsi Thomas Thabane alivyohusika na mauaji hayo.
11 years ago
GPL
NABII: HUYU SI YESU
Stori: MAKONGORO OGING’
Mtume na Nabii Hebron Wilson Kisamo amesema picha ya Yesu Kristo inayotumiwa na baadhi ya madhehebu ya Kikrito duniani siyo ya mwokozi huyo wa roho za watu. Mtume na Nabii Hebron Wilson Kisamo mwenye kanisa lake maeneo ya Moshono, Arusha. Nabii huyo ambaye ana kanisa lake maeneo ya Moshono, Arusha aliyasema hayo hivi karibuni kupitia kituo kimoja cha runinga nchini. Alisema watu wengi katika...
11 years ago
GPL
YESU FEKI AITIKISA DUNIA
Stori: Jelard Lucas na Mtandao
SHETANI bado anazidi kuwasakama Wakristo duniani. Hii ni baada ya mkazi wa Kijiji cha Alvaro Thesiss, Santa Catarina nchini Brazil, Mtume Inri Cristo (66) mwanzilishi wa Kanisa la Waraka Mweusi (Suprema Ordem Universal da SantÃssima Trindade ‘Soust’), miaka 35 iliyopita kujitangaza kuwa yeye ni Yesu Kristo amerudi kuja kuwaokoa wanadamu baada ya kusubiriwa kwa miaka mingi. Mtume...
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Yesu alizaliwa wakati gani?
“TAREHE mahsusi na muafaka ambayo Yesu Kristo alizaliwa haijulikani,” kinasema kitabu cha Encyclopedia of Early Christianity. Hata hivyo, mamilioni ya watu ulimwenguni husherehekea kuzaliwa kwa Yesu Desemba 25. Lakini tarehe hiyo...
10 years ago
Mwananchi23 Apr
Je, Yesu Kristo wa Nazareti alikuwa mwanasiasa?
Baada ya tafakuri ya Pasaka, watu wengi wameniandikia maoni na kutaka niendeleze makala ile. Nimeamua kuindeleza kwa namna nyingine kwa tafakuri zaidi. Juu ya mada hii: Je, Yesu Kristo wa Nazareti alikuwa mwanasiasa.
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Muhando kuachia ‘Kung’uta Yesu’
MALKIA wa nyimbo za Injili nchini, Rose Muhando, mwishoni mwa mwezi huu anatarajiwa kuachia albamu mpya itakayojulikana kwa jina la ‘Kung’uta Yesu’. Nyimbo tano katika albamu hiyo amezirekodi nchini Afrika...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
11-May-2025 in Tanzania