Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ruwaich ahimiza wanavyuo kujua lugha zaidi ya moja

ASKOFU mkuu wa Jimbo la Mwanza, Juda Thadeus Ruwaich amewahimiza wanafunzi wa vyuo vikuu kujishughulisha na kujibidiisha kujua lugha zaidi ya moja ili kuendana na soko la ajira. Aidha, amewataka...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UFARANSA YATENGA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 1.10 KWA AJILI YA KUHAMASISHA WATANZANIA KUJUA LUGHA YA KIFARANSA, AGUSIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50...


Na Said Mwishehe,Michuzi Blogu ya jamii

NCHI ya Ufaransa imesema kwamba imetenga zaidi ya shilingi  Bilioni 1.10  kwa ajili ya kutoa mafunzo ya lugha ya Kifaransa kwa walimu na maprofesa mbalimbali nchini Tanzania kwa ajili ya kuhakikisha lugha hiyo inazungumzwa na Watanzania wengi.

Kwa mujibu wa Ufaransa ni kwamba mkakati wa nchi hiyo ni kuhakikisha lugha ya Kifaransa inaendelea kuwa na watu wengi zaidi ambao watakuwa wanaizungumza kwa ufasaha na kuitumia kama sehemu muhimu ya Mawasiliano...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ashinda Scrabble bila kujua lugha

Raia wa New Zealand asiyezungumza kifaransa hata neno moja ameshinda mashindano ya dunia ya mchezo wa scrabble, kwa lugha hiyo.

 

5 years ago

Michuzi

ZAIDI ya wabunifu 700 nchini wamepata ajira za moja kwa moja

 Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Maendeleo ya Watu (HDIF) Joseph Manirakiza kulia akizungumza na waandishi wa habari juu ya wiki ya ubunifu itakayoanza Machi 8 hadi 13 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kaimu Kiongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo wa Uingereza (DFID) Natalie Smith na kushoto ni Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Dr. Amos Nungu. Kaimu Kiongozi wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo wa Uingereza (DFID) Natalie Smith  katikati akifafanua jambo kwa waandishi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau: Utajiri wa lugha ya Kiswahili ni zaidi ya gesi na madini

Kwa hali ilivyo nchini, kuna kila sababu ya kusema kuwa lugha ya Kiswahili imesuswa na wale waliopewa jukumu la kuiendeleza. Kibaya ni kuwa wanaofanya hivyo hawajui thamani ya lugha hiyo kwa maendeleo ya Tanzania kiutamaduni na hata kiuchumi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nisha ahimiza ubunifu zaidi

MUIGIZAJI wa filamu nchini, Salma Jabu ‘Nisha’, amewataka wasanii kuwa wabunifu katika uandaaji wa kazi zao ili kukuza soko. Rai hiyo imetokana na Nisha kueleza kuwa mwaka 2013 haukuwa mzuri...

 

11 years ago

Mwananchi

Ujenzi wa maktaba zaidi badala ya baa; utachangia maendeleo ya lugha nchini

Karibuni Bunge letu limejadiliana lugha ipi itumike kufundisha wanafunzi Tanzania. Mmoja wa wabunge, Kombo Khamis Kombo, alisema Wakenya wanatuzidi sasa hivi kwa Kiswahili. Siri kuu ya Wakenya kupiga hatua katika lugha imesimama dede katika elimu.

 

9 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete ahimiza amani ilikuvutia zaidi wawekezaji, azindua rasmi jiwe la msingi Bandari ya Bagamoyo

DSC_3417

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa sambamba na viongozi waandamizi wa China na Oman wakichanganya mchanga kwa pamoja na kuweka kwenye kalai kuashiria tukio hilo la ufunguzi wa jiwe la Msingi la ujenzi wa bandari ya Kisasa ya Bagamoyo kwa msaada wa nchi hizo mbili za China na Oman. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

Na Andrew Chale, Modewjiblog.

[BAGAMOYO-PWANI] Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amewahimiza watanzania kuendelea kuienzi...

 

9 years ago

Mtanzania

Waliojiandikisha zaidi ya mara moja kikaangoni

BVRNa Aziza Masoud, Dar es Salaam

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema majina ya watu waliojiandikisha zaidi  ya mara moja  katika Daftari la Wapigakura, yamekabidhiwa kwa vyombo vya dola ili taratibu za kisheria zifuatwe ikiwamo kuwapeleka mahakamani.

Akizungumza katika kituo cha uchakatuaji (maandalizi) wa vitambulisho vya wapigakura jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Ramadhani Kailima, alisema sheria inawataka watakaotiwa hatihani kutumikia kifungo au kulipa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani