Rwanda inawatafutia haki waliouawa
Rwanda imesema kuwa ni asilimia mbili tu ya washukiwa wakuu wa mauaji ya kimbari ambao wameshakamatwa na kufikishwa mbele ya sheria
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania04 Apr
Waliouawa Kenya wafikia 147
Nairobi, Kenya
WAKATI familia za wanafunzi waliouawa katika Chuo Kikuu cha Gharisa kilichopo Kaskazini Mashariki mwa Kenya zikielekea katika eneo la mkasa ili kuitambua miili ya waliouawa, idadi ya vifo sasa imefikia watu 147.
Watu hao wengi wakiwa wanafunzi waliuawa katika shambulio lililotekelezwa na wapiganaji wa Kundi la Al shabaab mjini Garissa juzi na wapiganaji hao waliwatenganisha wanafunzi hao kwa misingi ya kidini kabla ya kuwaua wanafunzi wa Kikristo.
Wakati huohuo mamlaka nchini...
10 years ago
BBCSwahili20 Jun
Misa ya waliouawa yafanyika Charleston
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Waliouawa Ufaransa kuzikwa leo
10 years ago
BBCSwahili27 Jun
15 kati ya waliouawa Tunisia ni Waingereza
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/y5Mcq6BCU*8hwfW7UXg1IUrelzbxWtNwoFkDa74srQYeiTlsG2eEB8T6g2sP6nr9dWAPpjVhZGZhTji5nnNzlwcqLVEC6VU1/TUNISIA2.jpg?width=650)
WALIOUAWA HOTELINI TUNISIA WAFIKIA 38
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Waliouawa kwa kulipa kisasi watambuliwa
10 years ago
BBCSwahili21 Jan
Utata kuhusu idadi ya waliouawa DRC
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Familia kutambua miili ya waliouawa Kenya
10 years ago
BBCSwahili05 Apr
Papa awasalia wanafunzi waliouawa Kenya