Rwanda yakana kuwakandamiza waandishi
Rwanda imekanusha ripoti iliyochapishwa na shirika la kimataifa la waandishi wasio na mipaka kuwa inawanyanyasa waandishi wa habari
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU


11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Ngwasuma yakana kusambaratika
BENDI ya muziki wa dansi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ imekanusha kwamba imesambaratika kutokana na kile kilichodaiwa kuwa baadhi ya wanamuziki waliopunguzwa katika bendi hiyo kuanzisha nyingine waliyoipa jina la...
10 years ago
BBCSwahili07 Feb
Marekani yakana madai ya IS
Katika taarifa ya IS, mwanamke huyo alikuwa peke yake wakati ndege za Jordan ziliposhambulia nyumba moja nje ya mji wa Raqqa.
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Idara ya usalama ya Rwanda imethibitisha kuwa inamshikilia mwanamuziki nyota nchini Rwanda, Kizito Mihigo
Mwanamuziki mashuhuri nchini Rwanda Kizito Mihigo alikamatwa akidaiwa kujaribu kuvuka mpaka kuingia Burundi kinyume cha sheria.
11 years ago
Mwananchi01 May
Yanga yakana madai ya TFF
Mkurugenzi wa Fedha wa Yanga, Dennis Oundo amesema alichukua fedha Sh15 milioni kwa mawakala wa kuuza tiketi wakati wa mechi dhidi ya Simba kwa utaratibu na wala hakupora kama inavyodaiwa na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
TZ yakana mpango wa kuwatimua wamasai
Tanzania imekanusha vikali taarifa kuwa ina mpango wa kuwaondoa wamasai wapatao 40,000 katika eneo lao la urithi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.
11 years ago
BBCSwahili08 May
Serikali ya Nigeria yakana kujikokota
Serikali ya Nigeria imejitetea vikali kuhusiana na shutma za kushindwa kukabiliana na kundi la wapiganaji wa kiislamu la Boko Haram huku wakisema kuwa wamo vitani.
10 years ago
BBCSwahili11 Oct
Uturuki yakana mauaji ya Wakurdi
Serikali ya Uturuki imekanusha madai ya vyama vya wa kurdi kuwa ilihusika katika milipuko hapo jana iliyosababisha vifo vya watu 95
11 years ago
BBCSwahili21 Feb
Kenya yakana kuwahangaisha wasomali
Serikali ya Kenya imekanusha madai ya Amnesty International kuwa inawahangaisha wakimbizi kutoka nchi jirani ya Somalia na kuwarudisha makwao
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania