Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saa 48 alizozitoa Waziri wa Magufuli kwa Wauza ‘Unga’…(+Pichaz)

Waziri wa mambo ya ndani Charles Kitwanga amefanya ziara ya ghafla leo Dec 16 2015 katika makambi mbalimbali ya Jeshi la Polisi na kutoa amri kwa viongozi wa jeshi hilo siku mbili za kuhakikisha amepata taarifa kuhusu  udhibiti wa dawa za kulevya. “Wapo wajanja wana mbinu nyingi, lakini hawawezi kutuua. Na mimi hili ni jambo nitalivalia […]

The post Saa 48 alizozitoa Waziri wa Magufuli kwa Wauza ‘Unga’…(+Pichaz) appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Askofu: Msimtwishe Magufuli mzigo wa wauza ‘unga’

Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mbeya, Mhashamu Everisto Chengula amesema watu wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya wanafahamika na wanaishi kwenye jamii husika, hivyo amewataka wananchi kuwafichua na si kumtwisha mzigo Rais John Magufuli kufanya jukumu hilo peke yake kwa kuwatia nguvuni watu hao.

 

10 years ago

Habarileo

Waziri Magufuli aagiza kivuko cha Kigongo-Busisi kufanya kazi saa 24

Dk John MagufuliWAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli ameagiza uongozi kivuko cha Kigongo- Busisi mkoani hapa, kufanya kazi kwa saa 24 ili kumudu ongezeko kubwa la abiria watokao Geita, Kagera lililotokana na meli ya Mv Victoria kusitisha safari zake.

 

5 years ago

CCM Blog

TAKUKURU YAWAAMURU VIONGOZI WA TFF KUREJESHA FEDHA ALIZOZITOA RAIS MAGUFULI KUSAIDIA MAANDALIZI MICHUANO YA VIJANA AFCON



Yassir Simba, Michuzi Tv
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini TAKUKURU imewataka maofisa wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFG kuzirejesha fedha walizochukua kabla hatia nyingine hazijafuata.
Hatua hiyo imekuja baada ya TAKUKURU kudai Shirikisho  limekuwa na matumizi mabaya ya fedha ikiwemo fedha zilizotolewa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya AFCON ya Vijana chini ya Miaka 17 yaliyofanyika mwaka jana hapa nchini.
Akizungumza na vyombo vya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO ATOA SAA 48 KWA KAMPUNI YA SPARKWAY LTD KULIPA BILLION 3.4 KWA WAKULIMA WA KOROSHO

 Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mwigulu Lameck Nchemba atoa saa 48 kwa kampuni ya Sparkway ltd kuwalipa wakulima wa korosho wa Mkoa wa pwani, kiasi cha Bilioni 3.4 za mauzo ya korosho kufuatia agizo hilo,Wakulima waliouza Korosho  wataanza kulipwa jumatatu ya Desemba 21, mwaka huu.Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mwigulu Lameck Nchemba wakati akizungumza mkoani Pwani leo.

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio hukumu kwa Mnigeria aliyenaswa na ‘unga’ Malaysia..

Kumekuwa na nchi nyingi zikijitahidi kupambana na ishu ya dawa za kulevya Duniani, nchi nyingine imefikia mpaka hatua ya kuweka sheria kali ili kudhibiti kabisa kuingizwa na matumizi ya dawa hizo. Kwenye list ya nchi ambazo zinatajwa watu wake wengi kukamatwa kwa dawa za kulevya, Nigeria nayo imo !! stori za Wanigeria wengi kutajwa na […]

The post Hii ndio hukumu kwa Mnigeria aliyenaswa na ‘unga’ Malaysia.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri atangaza vita na wauza nyama, machinjio

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Titus Kamani ametangaza vita na wafanyabiashara wa maduka ya nyama ambao wamekuwa wakichinja mifugo bila ya kufuata utaratibu na kuahidi kufunga biashara zao milele.

 

9 years ago

Mtanzania

Waziri Kitwanga aikimbia orodha ya wauza unga

kitwangaNa Jonas Mushi, Dar es Salaam

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amepata kigugumizi kuweka hadharani orodha ya majina ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya, licha ya kuliagiza Jeshi la Polisi limpatie.

Amesema hata akiwa na orodha hiyo, haitasaidia kukomesha biashara ya dawa za kulevya na badala yake wameunda mfumo utakaosaidia kudhibiti dawa hizo kuingizwa nchini.

Waziri Kitwanga, alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana, muda mfupi baada ya kumalizika kikao chake na maofisa...

 

9 years ago

MillardAyo

Pichaz 7 za Mbwana Samatta alivyokutana na waziri wa michezo Nape Nnauye wizarani Dec 30 …

December 30 ilikuwa ni siku ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kukutana na uongozi wa wizara ya habari, vijana, utamaduni, burudani na michezo Nape Nnauye. Mshambuliaji huyo ambaye anahusishwa kwenda kucheza soka la kulipwa katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji […]

The post Pichaz 7 za Mbwana Samatta alivyokutana na waziri wa michezo Nape Nnauye wizarani Dec 30 … appeared first on...

 

9 years ago

Vijimambo

WATU WAMESHAANZA KUPIGA KURA SAA MOJA ASUBUHI KWA SAA ZA AFRIKA MASHARIKI


 Hapa wananchi wakihakiki majina yao kwenye ubao wa kuhakiki  majina hili kupata fursa ya kupiga kuraHapa ni karatasi ya upigaji kura kuanzia ya urais ubunge na udiwani baada ya kuhakiki jina lako unakuja hapa na kukabiziwa karatasi hizi tatu ili kukamirisha  zoezi zima na upigaji kura. Mwanachi akiakiki jina lake kwenye ubao wa majina ya wapigaji kura kituoni hapo
Mabox ma 3 ya kupigia kura kuanzia uraisi ubunge na udiwani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani