Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SABABU 18 ZA KUPUNGUZA UZITO

Na Dk Mandai A Simu 0717961795, 0754391743 Tumeeleza kwa nini unene wa kupita kiasi (Obesity) ni hatari kwa binadamu, tukaeleza mbinu za kupunguza unene na njia ya kuudhibiti.
Leo tutaeleza sababu 18 zinazokulazimu upunguze uzito wako na uogope unene na zote ni hizi zifuatazo: 1. Unene unaongeza kiwango cha mafuta mwilini, ambayo huongeza uwezekano wa kupata kansa. 2. Unene unaongeza mafuta mwilini, ambayo hufanya matibabu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KUPUNGUZA UZITO KWA AFYA YAKO


CLEAN 9 ni nini na ina nini??
Ina mchanganyiko wa bidhaa nne (Alovera Gel chupa 3, Ultra Lite, Bee pollen na Garcinia. Pia ina tape measure pamoja na chupa ya kupimia)
Ina kitabu cha muongozo wa jinsi ya kutumia.CLEAN 9 ni muhimu katika kupunguza mwili kwasababu inafanya kazi ya kusaidia mfumo wako wa mmeng'enyo wa chakula,kuondoa sumu mwilini,kuondoa mafuta yaliyozidi mwilini na kukupa mfumo bora wa ulaji chakula.
Matumizi yake ni rahisi sana. Tumia bidhaa kwa usahihi kisha utahitaji...

 

11 years ago

Mwananchi

Dawa za kupunguza unene, uzito zaweza kusababisha kifo ghafla

Je, wewe ni mnene na ungependa kupunguza uzito? Je, wewe ni mwanamke au msichana unayependa kuwa na umbo la kuvutia la namba nane? Kama jibu lako ni ndiyo kwa mojawapo ya maswali hayo hapo juu, inakupasa kuchukua tahadhari.

 

11 years ago

Michuzi

KATAA UMEME FAMILY YAWAKEMEA WATU WANAOTUMIA PICHA ZAO KWENYE BIASHARA ZAO ZA MADAWA YA KUPUNGUZA UZITO

Kiongozi wa Kikundi cha Kataa Unene Family (KUF) ambaye pia ni mwandishi na mtangazaji wa Televison ya Taifa (TBC1), Angella Msangi amekemea tabia ya baadhi ya wafanyabiashara wanaotumia picha zao ili waweze kuuza biashara zao za madawa ya kupunguza uzito. Akizungumza  kwa masikitiko makubwa, Kiongozi huyo alisema kuwa kuna wafanyabiasha ambao si waaminifu wamekuwa wakichukua picha zao katika mitandao ya jamii na sehemu nyingine na kutangazia biashara zao kuwa hao wametumia dawa zao na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kupunguza uchumi wa taslimu uwe mkakati wa kupunguza ujambazi

MATUKIO ya majambazi kuwavamia watu na kuwakuta na fedha nyingi ni mengi. Juzi sista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Makoka – Dar es Salaam, alivamiwa na kupigwa risasi na majambazi,...

 

9 years ago

Habarileo

Wanaozidisha uzito kukiona

WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inakusudia kuongeza adhabu ya tozo kwa magari yanayokamatwa yamezidisha mizigo na kusababisha barabara kuharibika. Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Edwin Ngonyani alisema hayo juzi wakati wa ziara yake kukagua miradi ya miundombinu ya barabara ya Magole –Turiani, wilayani Mvomero yenye urefu wa kilometa 48.6 pamoja na ujenzi wa mizani inayotembea katika barabara kuu eneo la Mikese , wilaya ya Morogoro.

 

10 years ago

GPL

CHEKA, MTHAILAND WAPIMWA UZITO

Promota wa pambano hilo, Kaike Siraju (katikati) akiwatambulisha mabondia hao mbele ya waandishi (hawapo pichani). Bondia Cheka akipima uzito. Mthailand, Kitschai Singwancha akipima uzito.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Utafiti:Uzito mkubwa ni hatari

Utafiti uliofanyika nchini Sweden umebaini kuwa uzito mkubwa kwa vijana wadogo unaweza kusababisha Saratani ya utumbo hapo baadae

 

10 years ago

Habarileo

Kondoa waipa uzito CCM

MATOKEO ya Uchaguzi wa Serikali ya Mitaa katika Wilaya ya Kondoa Mkoa wa Dodoma, yanaonesha kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza katika vijiji na vitongoji vingi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani