Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sababu za Jose Mourinho kuzuru Angola ni zipi?


Kwa hisani ya KTN

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Sababu nne za kwa nini Man United wanatakiwa wamfukuze Louis van Gaal na kumuajiri Jose Mourinho …

Hizi ni stori au mkusanyiko wa mawazo ya waandishi wa habari wa Uingereza na wchambuzi wa masuala ya soka Uingereza, Jose Mourinho na Louis van Gaal ndio makocha ambao walikuwa wanahusishwa kwa kiasi kikubwa kupewa nafasi ya kufukuzwa kazi kutokana na mwenendo wa timu zao. Tayari Jose Mourinho kafukuzwa Chelsea ila hatujui Man United wataamua […]

The post Sababu nne za kwa nini Man United wanatakiwa wamfukuze Louis van Gaal na kumuajiri Jose Mourinho … appeared first on...

 

11 years ago

Mwananchi

Zipi sababu za watoto kuharibikiwa kitabia?

Natumaini wajukuu zangu ni wazima wa afya, kama wapo baadhi yenu wanaougua nawaombea kwa Mungu mpone, ili mrejee katika masomo yenu. Leo wajukuu zangu tunajadili mada inayowagusa watoto wenzenu katika sehemu tofauti za nchi yetu.

 

11 years ago

Michuzi

JK akutana na Rais Jose Eduardo Dos Santos wa Angola jijini Luanda leo

 Rais wa Angola Mhe. Jose Eduardo Dos Santo akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika ikulu ya nchi hiyo jijini Luanda na kufanya naye mazungumzo leo. Rais Kikwete alikuwa nchini Angola kwa ziara ya kikazi ya siku moja  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akiwa na mazungumzo na Rais wa Angola Mhe. Jose Eduardo Dos Santo  katika ikulu ya nchi hiyo jijini Luanda leo. .Rais Kikwete alikuwa nchini Angola kwa ziara ya kikazi ya siku moja  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akibadilishana...

 

10 years ago

GPL

JOSE MOURINHO HAKUNAGA

Mashabiki wa timu ya Chelsea wakiwa wamebeba bango la kumsifia, Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho. LONDON, England
MWACHE Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho atembee kifua wazi na kutamba katika mitaa mbalimbali ya Jiji la London, kwani ni miongoni mwa makocha wachache wageni waliopata mafanikio England. Sifa kubwa ya kocha huyu raia wa Ureno ni maneno mengi yenye kejeli, dharau, majigambo na mambo mengine mengi ambayo hugeuka na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jose Mourinho matatani

Jose Mourinho ashtakiwa kwa utovu wa nidhamu.

 

9 years ago

Bongo5

FA yampa adhabu Jose Mourinho

Chama cha soka cha England FA, kimempa adhabu meneja wa klabu ya Chelsea, Jose Mourinho kutokana na utovu wa nidhamu. Mourinho amefungiwa mechi moja na kupigwa faini ya pauni 50,000 kwa maoni yake dhidi ya maafisa wa mechi. Mourinho alidai kuwa maafisa walikuwa waoga kuipa timu yake penati baada ya Robert Madley kuikatalia penati Chelsea […]

 

9 years ago

Mtanzania

Kauli yamponza Jose Mourinho

Jose MourinhoLONDON, ENGLAND

CHAMA cha Soka England (FA), kimemfungia mchezo mmoja kuingia uwanjani na faini ya pauni 50,000 kocha wa timu ya Chelsea, Jose Mourinho.

Adhabu hiyo imekuja baada ya kocha huyo kukutwa na kosa la kuvunja kanuni za FA inayohusiana na maelezo yake ya mwisho wa mchezo walipofungwa na Southampton mabao 3-1.

Mourinho alikutwa na kosa la kumbwatukia mwamuzi wa mchezo huo, akidai kuwa aliwaua baada ya kuwa na ‘hofu ya kutoa maamuzi kwa Chelsea’.

FA imesema kuwa ina uwezo wa...

 

9 years ago

Africanjam.Com

JOSE MOURINHO'S WORSE WEEK EVER


Chelsea manager Jose Mourinho's week from hell concluded in a fitting manner as he suffered the misery of watching his Premier League champions comprehensively dismantled by Manchester City.The start of Chelsea's title defence has been overshadowed by the behind-the-scenes manoeuvring that saw Mourinho remove medical staff Eva Carneiro and Jon Fearn from their touchline roles after infuriating the manager by entering the Stamford Bridge playing surface to attend to Eden Hazard in the 2-2...

 

10 years ago

Bongo5

Meneja wa Chelsea, Jose Mourinho ashtakiwa na FA

Kocha wa Chelsea asiyeishiwa vituko, Jose Mourinho ameshtakiwa na chama cha soka cha England, FA kufuatia madai yake kuwa kuna ‘kampeni’ ya waamuzi dhidi ya timu yake. Mourinho alitoa matamshi hayo baada ya Chelsea kunyimwa penati dhidi ya Southampton Disemba 28 katika mchezo uliomalizika kwa sare ya 1-1. Mwamuzi Anthony Taylor alimuonesha kadi ya manjano […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani