Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zipi sababu za watoto kuharibikiwa kitabia?

Natumaini wajukuu zangu ni wazima wa afya, kama wapo baadhi yenu wanaougua nawaombea kwa Mungu mpone, ili mrejee katika masomo yenu. Leo wajukuu zangu tunajadili mada inayowagusa watoto wenzenu katika sehemu tofauti za nchi yetu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Mwaka ataja sababu za vifo vya watoto

MAELEWANO mabaya kati ya wagonjwa na wauguzi ni miongoni mwa sababu zinazochangia vifo vya watoto wakati wa kujifungua. Hayo yalibainishwa na Daktari wa ForePlan Clinic,  Juma Mwaka, alipozungumza na wahariri...

 

9 years ago

Mtanzania

Chris Brown: Mwanangu amenibadilisha kitabia

Chris-and-RoyaltyNEW YORK, MAREKANI

MKALI wa muziki wa RnB nchini Marekani, Chris Brown, amesema mtoto wake, Royalty, amembadilisha kitabia na mfumo wake wa maisha kwa sasa.

Awali msanii huyo alikuwa akitumia muda mwingi kufanya mambo yasiyo na maana kwa jamii na familia yake, lakini tangu alipoanza kumlea mtoto huyo amekuwa na mabadiliko makubwa katika maisha yake.

“Royalty amekuwa na mchango mkubwa wa kubadilisha maisha yangu, kutokana na hali hiyo ninatakiwa kumfanyia kila kitu ambacho anapaswa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kitabia, Kombe la Dunia limerudi nyumbani Brazil

Karibu na Hoteli ya Nosso niliyofikia jijini São Paulo. Napanga foleni ya kulipia bidhaa zangu ndogo ndogo nilizonunua. Ni duka La Mchina. Sijiulizi amefikaje Sao Paulo. Tunajua kuwa Wachina wametapakaa dunia nzima. Mbele yangu amesimama msichana mrembo. Ana nywele maridadi. Mrefu wa kuvutia. Ana nywele za kuvutia. Matiti yake yamesimama vema. Anaonekana kuwa na ngozi laini. Amebeba bidhaa zake na analipa kwa Mchina. Rafiki yangu Mtanzania anayejulikana kwa jina La Tuli aliyeishi hapa kwa...

 

10 years ago

CloudsFM

KAJALA AWAFUNGUKIA WANASEMA KUWA ANAMHARIBU MWANAYE KITABIA

Staa wa Bongo Movie,Kajala Masanja amewatolea uvivu mashabiki wake waliomshambulia kuwa anamharibu mtoto wake aliyezaa na producer wa Bongo Records,P Funk,Paula kutokana na mavazi yasiyo na maadili anayoyavaa mbele ya mwanaye huo.Mashabiki hao walimshambulia kupitia mtandao wa Instagram baada ya kupost picha akiwa amevaa nguo ambayo inaonyesha tumbo lake likiwa wazi ambapo mashabiki hao walidai kuwa anamfundisha nini mwanaye kutokana na mavazi hayo aliyoyavaa.Baada ya kuona mashambulizi hayo...

 

10 years ago

Mwananchi

Je, mkopaji ana haki zipi hasa kisheria?

Haki ni stahiki za kisheria ambazo mtu anapaswa azipate au apewe. Wajibu ni majukumu ambayo mtu anapaswa kuyatimiza katika kufanikisha au kukamilisha jambo fulani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Corona: Umekumbana na habari zipi potofu kuhusu lishe bora?

Huku janga la corona likiendelea kuathiri mataifa mengi kote duniani,ushauri wa kupotosha wa kiafya unazidi kutolewa katika mitandao ya kijamii.

 

5 years ago

CCM Blog

JE NI TIBA ZIPI NNE AMBAZO WHO INAZIFANYIA UTAFITI KUTIBU KORONA?


Kufikia tarehe 23 mwezi machi , zaidi ya watu 350,000 walikuwa wamembukizwa virusi vya corona katika mataifa 170 duniani huku watu 16000 wakiripotiwa kufariki. ''Mpango mahsusi wa kuokoa maisha'', hivi ndivyo shirika la afya duniani WHO linavyoelezea juhudu zake mpya za kukabiliana na virusi vya corona. Kufikia tarehe 23 mwezi machi , zaidi ya watu 350,000 walikuwa wameambukizwa virusi vya corona katika mataifa 170 duniani huku watu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi wa sekondari ya wasichana Makete watakiwa kuwa mfano bora kielimu na kitabia

unnamed (1)

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro akizungumza na wanafunzi wa Makete Girls Sekondari (hawapo Pichani).

unnamed

Wanafunzi wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Makete Mh Josephine Matiro.

unnamed (2)

Maktaba ya shule hiyo.

unnamed (3)

unnamed (4)

Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wa shule hiyo.

unnamed (5)

Mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro (wa tatu kushoto) akiwa na walimu wa shule hiyo, wa kwanza kulia ni Afisa Taaluma sekondari wilaya hiyo.(Picha zote na Edwin...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani