Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Safari ya Boban Oman Januari 5

Haruna Moshi ‘Boban’. Na Martha Mboma
KIKOSI cha Coastal Union kinatarajia kuondoka nchini Januari 5, mwakani kuelekea Oman kwa ajili ya kuweka kambi ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara. Ofisa Habari wa Coastal, Hafidhi Kido amesema kuwa timu hiyo wameweka mikakati mizuri kwa ajili ya kambi hiyo, ambapo wataondoka na wachezaji kadhaa akiwemo Haruna Moshi ‘Boban’ ambaye ni kiungo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Safari ya JK Oman yazaa matunda

SAFARI ya Rais Jakaya Kikwete nchini Oman imezaa matunda baada ya ujumbe wa wafanyabiashara wa nchi hiyo kutua nchini jana. Lengo la ujumbe huo uliowakilishwa na watu 19 wakiwemo waziri...

 

9 years ago

Dewji Blog

“Hapa Kazi tu’ Sasa Elimu bure kuanza Januari 2016, Mikopo vyuo vikuu kimeeleweka, safari za nje za vigogo stop

k1

  Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini jana Ikulu jijini Dar es salaam kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa kupenda kazi.

k11

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  katika picha ya pamoja Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Watendaji Wakuu serikalini jana Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukutana nao na kupanga mikakati ya kuendesha serikali kwa weledi, nidhamu na moyo wa...

 

11 years ago

GPL

Boban: Naondoka Coastal

Haruna Moshi ‘Boban’. Na Martha Mboma
MSHAMBULIAJI wa Coastal Union, Haruna Moshi ‘Boban’, huenda  asiongeze mkataba katika kikosi chake hicho. Boban alitua Coastal Union msimu huu mwanzoni baada ya kumaliza mkataba wake na Simba msimu uliopita na kufanikiwa kupewa mkataba wa mwaka mmoja ambao unakaribia kumalizika.
Chanzo cha karibu cha mchezaji huyo, kilisema kuwa kiungo huyo kwa sasa hana...

 

11 years ago

GPL

Boban arejea kuwavaa Yanga

Haruna Moshi ‘Boban’. Na Nicodemus Jonas
KIUNGO mtukutu wa Coatal Union, Haruna Moshi ‘Boban’, amerejea uwanjani baada ya kuukosa mchezo dhidi ya JKT Oljoro wikiendi iliyopita kutokana na kusumbuliwa na malaria. Boban alikuwa akisumbuliwa na malaria tangu kikosi hicho kilipokuwa nchini Oman kwa kambi ya wiki mbili, hata hivyo tayari amepata matibabu na leo huenda akawa kwenye orodha, iwapo kocha Yusuf...

 

10 years ago

GPL

Maximo amtaja Boban Yanga SC

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wilbert Molandi
JINA la kiungo mchezeshaji wa zamani wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ limetajwa kwenye usajili wa dirisha dogo na Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Usajili huo wa dirisha dogo unatarajiwa kufunguliwa Novemba 15, mwaka huu na kufungwa Desemba 15.
Maximo, hivi karibuni alitangaza kuongeza viungo wawili pekee katika usajili huo katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Boban, Kaseja kuitibulia Simba SC

Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ na kipa Juma Kaseja ni miongoni mwa silaha za Mbeya City zilizoandaliwa kuiua timu ya Mtaa wa Msimbazi, Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Ubonge ‘nyanya’ wamtesa Boban

Wakati Simba ikiibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City, imebainika kuwa Wekundu hao wa Msimbazi waliingia uwanjani wakiwaza namna ya kumkaba kiungo wao wa zamani Haruna Moshi ‘Boban’.

 

11 years ago

GPL

Boban atemwa rasmi Coastal Union

Haruna Moshi ‘Boban’. Na Lucy Mgina
UONGOZI wa Coastal Union umesema hautamuongeza mkataba mshambuliaji Haruna Moshi ‘Boban’ kutokana na kuwa na utovu wa nidhamu.   Akizungumza na Championi Jumatatu, Makamu Mwenyekiti wa Coastal, Steven Mnguto, alisema mpaka sasa mshambuliaji huyo hajaripoti kambini kuanza mazoezi na wenzake na hajatoa taarifa yoyote. Alisema kwa tabia ambayo ameionyesha ni ngumu...

 

11 years ago

GPL

Loga awarudisha Boban, Kisiga Simba

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, Sweetbert Lukonge na Nassor Gallu
SIMBA ipo katika hatua za mwisho kuwasainisha mikataba mifupi viungo wakongwe nchini, Haruna Moshi ‘Boban’ na Shabani Kisiga ‘Maron’. Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amesema anataka viungo wawili wazoefu na si wale ambao wanataka kujifunza.Loga, raia wa Croatia, amesisitiza anataka wachezaji wa kazi ambao watamsaidia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani