Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Saikolojia itaibeba Stars kwa Algeria

Wanasoka wa zamani wa Tanzania walioichezea Taifa Stars wameeleza imani yao katika mchezo wa leo kati ya Taifa Stars na Algeria na kubainisha kuwa tiba ya saikolojia kwa kikosi hicho cha taifa ndiyo itakoleza chachu ya ushindi kwa Stars kwenye mchezo huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Stars yaifuata Algeria kwa Jasho

Kipa Ally Mustafa ameibuka shujaa baada ya kuiongoza timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kusonga mbele kwa hatua ya pili  ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2018, licha ya kufungwa bao 1-0 na Malawi kwenye Uwanja wa Kamuzu Banda.

 

9 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YATOSHANA NGUVU NA ALGERIA KWA BAO 2-2

Mshambuliaji machachari wa Timu ya Taifa Stars, Thomas Ulimwengu, akionyesha umahiri wake wa kuwatoka mabeki wa timu ya Taifa ya Algeria, wakati wa Mchezo wa kuwania nafasi ya kufuzu kucheza kwenye Mashindano ya Kombo la Dunia ya Mwaka 2018, katika mechi iliyopigwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam leo. Hadi mwisho wa mchezo, Timu zote zimetoka suluhu ya kufungana Bao 2-2.Mchezaji wa timu ya Taifa ya Algeria, Guediora Aldane akiondoka na mpira mbele ya beki wa Timu ya...

 

9 years ago

Habarileo

Stars kuishtua Algeria

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo imepania kuizima Algeria katika mchezo wa kusaka kufuzu kucheza fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Urusi mwaka 2018, katika mchezo utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa.

 

9 years ago

Habarileo

Stars yaipania Algeria

KOCHA Msaidizi wa Taifa Stars Hemed Morocco amesema baada ya kuvuka hatua ya kwanza ya michuano ya kufuzu Kombe la Dunia, wanajipanga kuimaliza Algeria katika mchezo ujao.

 

9 years ago

Mtanzania

Taifa Stars yaitesa Algeria

Pg 32ABDUCADO EMMANUEL NA THERESIA GASPER

WAKATI timu ya Taifa ya Tanzania ikitarajia kurudiana na Algeria ‘The Desert Foxes’ kwenye Uwanja wa Mustapha Tchaker jijini Blida leo saa 3:15 usiku, Taifa Stars imeonekana kuwatesa wapinzani hao kuelekea mchezo huo wa raundi ya pili kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.

Kiwango kikubwa walichokionyesha Stars kwenye mchezo wa kwanza uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2, bado kimezidi kuwavuruga Algeria ambao hadi sasa hawaamini kama...

 

9 years ago

Mwananchi

Stars kuvunja mwiko Algeria

Waswahili wanasema yaliyopita si ndwele, tugange yajayo, pia historia ni muhimu kwa ajili ya mustakabali wa mambo yanayokuja.

 

9 years ago

BBCSwahili

Stars kuivaa Algeria Novemba 14

Timu ya Taifa ya Tanzania itajitupa uwanja Novemba 14 kukipiga na timu ya taifa ya Algeria

 

9 years ago

Mtanzania

Stars matumaini kibao Algeria

Taifa-Stars-NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimeondoka nchini jana alfajiri kuelekea jijini Algiers huku kikiwa na matumaini ya kufanya vizuri na kuwatoa wapinzani wao Algeria ‘The Desert Foxes’ ugenini.

Stars iliyolazimishwa sare ya mabao 2-2 nyumbani, itarudiana na Algeria kwenye Uwanja wa Stade Mustapha Tchaker jijini Algiers kesho katika mchezo wa raundi ya pili kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi.

Kocha Mkuu wa Stars, Charles...

 

9 years ago

Michuzi

STARS YAWASILI SALAMA ALGERIA

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kimewasili salama nchini Algeria jana jioni majira ya saa 10, kabla ya kuanza safari ya kuelekea katika mji wa Bilda.
Msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Athumani Kambi, ambapo jumla ya watu 40 wapo katika mji wa Bilda wakiwemo wachezaji 21 wanaojiandaa kwa mchezo wa marudiano.
Mara baada ya kufika katika uwanja wa ndege Algiers, Stars ilipokelewa na watanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani