Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Samata, Ngassa, Uhuru wachemsha

Haikuwa wiki nzuri kwa washambuliaji kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samata, Mrisho Ngassa na Uhuru Selemani baada ya klabu zao kupoteza katika michezo yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ngassa, Samata wamliza kocha Malawi

Kocha wa timu ya Taifa ya Malawi, Chimozi Yangi amesema Tanzania ina wachezaji wawili hatari na ndiyo waliowasumbua katika pambano hilo na kutamka wazi kuwa Mbwana Samata na Mrisho Ngassa ndiyo waliofanya pambano hilo kuwa gumu kwao haswa kipindi cha pili.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota wa dirisha dogo wachemsha

Pamoja na baadhi ya klabu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara kutumia mamilioni ya fedha kufanya usajili wa wachezaji kwenye dirisha dogo mwezi Desemba mwaka jana, nyota wengi waliosajiliwa na timu hizo wameshindwa kuzisaidia timu zao kwa kiasi kikubwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Maproo nane wachemsha Ligi Kuu

Wachezaji nane wa kigeni wameshindwa kuthibisha ubora wao katika Ligi Kuu inayoondelea kutimua vumbi nchini.

 

9 years ago

Habarileo

Samata kimeeleweka

MENEJA wa mshambuliaji nyota wa TP Mazembe Mbwana Samatta, Jamal Kisongo amesema taratibu za Samatta kujiunga na klabu ya Genk ya Ubelgiji zimekamilika.

 

11 years ago

Mwananchi

Samata amtetea Kapombe

Mshambuliaji wa TP Mazembe na Tanzania, Mbwana Samata  amesema watu wasiwe mahiri wa kuwalaumu wachezaji wanaorudi nchini kutoka nje ya nchi kwa majaribio kwani kuna mambo mengi magumu ambayo hayavumiliki.

 

11 years ago

Mwananchi

Samata: Tukijituma tunaitoa Msumbiji

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samata amesema upo uwezekano wa kuitoa Msumbiji kwao, kama kila mmoja atatimiza majukumu yake ipasavyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Samata atuma salamu Malawi

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samata aimeitumia salamu Malawi baada ya kufunga mabao mawili na kuiongoza TP Mazembe kuichapa Al-Merreikh 3-0 na kufuzu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

11 years ago

GPL

ULIMWENGU, SAMATA WAJIUNGA STARS

Mbwana Samatta. Wachezaji Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wametua Dar es Salaam leo (Mei 17 mwaka huu) mchana, na kujiunga moja kwa moja kwenye kambi ya Taifa Stars kwa ajili ya michuano ya Afrika dhidi ya Zimbabwe (Mighty Warriors). Mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya kwanza ya michuano hiyo itafanyika kesho (Mei 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Thomas Ulimwengu. Washambuliaji hao wa Taifa Stars wamewasili…...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Samata, Ulimwengu ni mfano wa kuigwa 

MOJA ya habari za michezo katika vyombo mbalimbali leo ni hatua ya wanasoka wa kimataifa wa Tanzania wanaocheza soka ya kulipwa nchini DR Congo, Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu kwenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani