Samatta aitoa medali ya ushindi wa TP Mazembe kwa wazazi wake
Mbwana Samatta amesema medali aliyoipata baada ya klabu yake ya TP Mazembe kuchukua kombe la michuano ya mabingwa wa Afrika anaitoa kwaajili ya wazazi wake.
Samatta amesema anatamani kama mama yake angekuwepo uwanjani ili ashuhudie mafanikio ya mwanae.
“Nimemaliza nikiwa mfungaji bora lakini kitu nilichokuwa nakitamani sana ni kutwaa ubingwa, nilikuwa nahamu nao zaidi nah ii imekuwa historia kwangu,” Samatta alimwambia Shaffih Dauda.
“Naidadicate medali hii kwa mama yangu nadhani ingekua...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA WAZAZI YA CCM KATA YA SINZA YAWASHUKURU WANACHAMA WAKE KWA KUKIPA USHINDI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akiwahutubia wanaccm wa Kata ya Sinza katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru kufuatia kukipa ushindi chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni.
9 years ago
MillardAyo03 Jan
TP Mazembe inatafuta mbadala wa Samatta? hawa ndio nyota wa Tanzania waliokwenda kwa majaribio …
Baada ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kuthibitisha kuwa yuko mbioni kuondoka TP Mazembe na kujiunga na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, stori za January 2 ni kuwa klabu ya TP Mazembe imeita nyota wawali wa bongo kwenda kufanya majaribio. […]
The post TP Mazembe inatafuta mbadala wa Samatta? hawa ndio nyota wa Tanzania waliokwenda kwa majaribio … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Habarileo06 Nov
Mogella: Ushindi Stars upo kwa Samatta
GWIJI wa zamani wa kimataifa wa Tanzania Zamoyoni Mogella, amesema timu ya soka ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itategemea ubora wa Mbwana Samatta kuifunga Algeria nyumbani.
9 years ago
Mwananchi02 Nov
Samatta aipaisha TP Mazembe
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Samatta aivizia TP Mazembe
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayechezea Klabu ya TP Mazembe ya DR. Congo, Mbwana Samatta, amesema hadi kufikia mwakani ndipo atajua hatima yake ya kucheza soka Barani Ulaya. Samatta, nyota...
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Samatta ajibebesha mzigo TP Mazembe
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga TP Mazembe (DRC), Mbwana Samatta, amejibebesha mzigo baada ya kudai kuwa anataka kuiachia timu hiyo taji la Ligi ya Mabingwa Afrika kabla ya kutimkia Ulaya mwakani.
Samatta aliyeivusha TP Mazembe hadi nusu fainali ya michuano hiyo wikiendi iliyopita kwa kufunga mabao matatu ‘hat trick’ walipoifunga Moghreb Tetouan ya Morocco mabao 5-0, anamalizia mkataba wake kwa matajiri hao Februari mwakani.
Wakati...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GvFfwHMN-v7CjzNTMdP9yX1CUFtGxSBVTIbKMjdYa5nxVPS6QCtJsxIBkeFkg-t9DZbyb38NnuMkT6pq1FV*Q9Vv6AAx0Ryp/Samatta.jpg?width=650)
Samatta arejea TP Mazembe kishujaa
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Samatta mchezaji bora TP Mazembe
9 years ago
TheCitizen05 Oct
Samatta sends TP Mazembe to CAF final