Samsung yatangaza vita ya bidhaa bandia
>Kampuni ya simu za mkononi na vifaa vya umeme ya Samsung Tanzania imetangaza kuendeleza vita dhidi ya bidhaa bandia zinavyoghushiwa, zilizoibwa na zisizokuwa na dhamana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Bidhaa bandia kero kubwa
KUNA kero nyingi katika taifa hili, ili tupige hatua na kuyasogelea maendeleo ya kweli ni lazima kutafuta ufumbuzi wa kuondoa kero hizi. Serikali yetu imeshambuliwa kwenye vyombo vya habari kwa...
11 years ago
Mwananchi22 May
Unafuu usitupeleke kwenye bidhaa bandia
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Geita waonywa kutumia bidhaa bandia
WANANCHI wilayani Geita, wametakiwa kuachana na wafanyabishara wanaouza bidhaa bandia kwa kujipatia kipato na kuwaacha watumiaji wakiwa wanahangaika huku wao wakipata faida kubwa kutokana na biashara hiyo. Kauli hiyo ilitolewa...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
HP yaja na teknolojia kudhibiti bidhaa bandia
WATU wengi hawana ufahamu wa kutosha kuhusu ununuzi wa bidhaa zilizotengenezwa chini ya kiwango. Watanzania wamekuwa wateja wakubwa wa bidhaa hizo kutokana na kuangalia unafuu wa bei. Licha ya mamlaka...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
TBS kutokomeza bidhaa bandia kwa wajasiriamali
UZALISHAJI wa bidhaa zilizo chini ya kiwango nchini umekuwa ni tatizo sugu linaloathiri afya za Watanzania na uchumi kwa ujumla. Mazingira duni ya maeneo ya uzalishaji yasiyozingatia masuala ya kitaalamu...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-yApo9KF-Qik/VRaRmUpVT4I/AAAAAAAHNxI/qg17vVEUyp0/s72-c/unnamed%2B(40).jpg)
TUME YA USHINDANI NCHINI (FCC) YAKAMATA BIDHAA BANDIA JIJINI ARUSHA
![](http://3.bp.blogspot.com/-yApo9KF-Qik/VRaRmUpVT4I/AAAAAAAHNxI/qg17vVEUyp0/s1600/unnamed%2B(40).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-p-VQIhXUI4I/VRaRmTBd-4I/AAAAAAAHNxA/AJzJVxQGnfQ/s1600/unnamed%2B(41).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-eY8dgAigWYs/VRaRmaKzDlI/AAAAAAAHNxE/Yn4ohf4p3hI/s1600/unnamed%2B(42).jpg)
10 years ago
Tanzania Daima22 Sep
Samsung yatoa elimu kugundua bidhaa feki
KUTOKANA na kuongezeka kwa wimbi la bidhaa feki zinazoingizwa nchini, Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung imewataka wananchi wanaonunua bidhaa zake kuzisajili kwenye namba maalum itakayowawezesha kubaini kama bidhaa...
11 years ago
Dewji Blog21 Jun
Samsung, bidhaa zilizotengezwa kwa ajili ya Africa
Ukuaji endelevu wa uchumi wa Tanzania umeona ongezeko la kampuni za nje zikiingia nchini zikiwa na nia ya kuzindua bidhaa au huduma zao kwa Watanzania walio wengi. Mafanikio kwa bidhaa na huduma hizi yanategemea mambo mengi kuanzia mazingira hadi uhitaji, kuonyesha kwamba zinakubalika katika soko.
Kampuni moja ambayo imeona mafanikio yaliotulia na kua mtoa huduma tegemezi kwa Watanzania, ni kampuni ya vifaa vya umeme ya Samsung. Kupitia bidhaa zao mbalimbali wameshuhudia mauzo ya zaidi ya...
10 years ago
Mtanzania10 Jan
CCM Yatangaza vita
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kufanya maandalizi ya kupigana na wafuasi wa vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kinaowatuhumu kuwashambulia wanachama wake.
Kimesema uamuzi huo umekuja baada ya kuchoshwa na vurugu zinazofanywa na wafuasi wa Ukawa katika maeneo mbalimbali hapa nchini hususan wakati wa kutangaza matokeo na uapishaji wa viongozi wa Serikali za Mitaa.
Mpango huo wa mapambano umetangazwa jana na Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi wa...