Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUME YA USHINDANI NCHINI (FCC) YAKAMATA BIDHAA BANDIA JIJINI ARUSHA

Afisa Mkaguzi wa Tume ya Ushindani(FCC), Michael David akizungumza na waandishi wa habari kwenye Kituo cha Polisi jijini Arusha baada ya kufanikiwa kukamata Simu bandia 215 za mikononi na vifaa vingine vyenye jina la Samsung wakati sio halisi. Baadhi ya Simu,Chaja na mifuniko yenye nembo ya kampuni ya Samsung vilikamatwa kwenye maduka mbalimbali jijini Arusha. Afisa Mkaguzi wa Tume ya Ushindani(FCC), Michael David akionesha moja ya bidhaa bandia zilizokamatwa leo.Amewataka wananchi kununua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

FCC yakamata simu bandia za mil. 72/-

TUME ya Ushindani (FCC) imekamata simu bandia zenye thamani ya Sh milioni 72.2 katika maduka ya Kariakoo.

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA MABIBO BEER YAIDAI TUME YA USHINDANI (FCC) SH.TIRIONI MOJA

 Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, James Rugemalira akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu kupinga uamuzi wa tume ya ushindani (FCC)  na kuidai fidia hiyo ya sh. tirioni moja kutoka na hasara wanayoipata kwa kuruhusu bia ya Windhoek kuingia katika soko la Tanzania ki holela. Mwenyekiti wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, Benedicta James Rugemalira (katikati), akizungumza katika mkutano huo na kusema bia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Mabibo Beer yaidai Tume ya Ushindani (FCC) Tsh. trilioni moja

Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, James Rugemalira akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu kupinga uamuzi wa tume ya ushindani (FCC)  na kuidai fidia hiyo ya sh. trilioni moja kutoka na hasara wanayoipata kwa kuruhusu bia ya Windhoek kuingia katika soko la Tanzania ki holela.

Mwenyekiti wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, Benedicta James Rugemalira (katikati), akizungumza katika mkutano huo na kusema...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MABIBO BEER YAIDAI TUME YA USHINDANI (FCC) SH.TIRIONI MOJA KWA KINACHODAIWA KUKIUKA MKATABA

Na Dotto Mwaibale KAMPUNI ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd ambayo ni wasambazaji wa bia ya Windhoek inaidai Tume ya Ushindani (FCC), sh.tirioni 1 kwa kukiuka uhalali wa mkataba wa Mabibo na kudai unapingana na ushindani. Katika hatua nyingine kampuni hiyo imeiomba Mahakama ya Rufaa kutoa uamuzi kuhusu uhalali wa uamuzi uliochukuliwa na Baraza la Ushindani (FCT) mwezi Aprili 2015 kuhusu haki ya Mabibo ya kuagiza na kusambaza bia za Windhoek kipekee katika soko la Tanzania. Hayo...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mwandosya afanya ziara Tume ya Ushindani na Baraza la Ushindani

Akiendelea na ziara katika Mamlaka zinazohusu udhibiti wa huduma za kiuchumi na za kijamii,Waziri wa Nchi(Kazi Maalum), Ofisi ya Rais,Profesa Mark Mwandosya ametembelea makao makuu ya Tume ya Ushindani wa Haki kibiashara, na Baraza la Ushindani, Ubungo, Dar es Salaam. 
Tume ya Ushindani(Fair Competition Commission-FCC) imeanzishwa kwa mujibu wa Sheria ya Ushindani ya mwaka 2003. Madhumuni makubwa ya uwepo wa Tume ni kukuza na kulinda ushindani wa haki katika biashara na kumlinda mtumiaji wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MOTO WATEKETEZA SOKO LA BIDHAA ZA UTAMADUNI JIJINI ARUSHA

Baadhi ya Mabaki ya bidhaa zilizoteketea kwa moto katika SOKO la bidhaa za utamaduni lijulikanalo kwa jina la MT.MERU CURIOS& CRAFTS MARKET usiku wa kuamkia leo. Bango la Soko hilo.kwa picha zaidi bofya soma zaidiSehemu ya Wafanyabiashara wa SOKO la bidhaa za utamaduni lijulikanalo kwa jina la MT.MERU CURIOS & CRAFTS MARKET wakiwa wameduwaa bila kujua la kufanya mara baada ya Soko hilo kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo na kuunguza bidhaa zote za wafanya biashara zililopo katika soko...

 

10 years ago

Habarileo

TRA yakamata bidhaa za magendo za mabilioni

Kamishna Mkuu wa TRA, Dk Rished BadeMAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata bidhaa za magendo zenye thamani ya Sh milioni 228.4, ikiwa ni katika jitihada za kudhibiti uingizaji wa bidhaa kwa njia ya magendo na biashara ya magendo nchini.

 

10 years ago

Habarileo

TFDA yakamata tani 313.4 za bidhaa zisizofaa

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imesema kwa mwaka 2013/14 ilipokea jumla ya bidhaa zenye uzito wa tani 313.4 zenye thamani ya Sh milioni 962 ambazo zimethibitishwa kuwa hazifai kwa matumizi ya binadamu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bidhaa bandia kero kubwa

KUNA kero nyingi katika taifa hili, ili tupige hatua na kuyasogelea maendeleo ya kweli ni lazima kutafuta ufumbuzi wa kuondoa kero hizi. Serikali yetu imeshambuliwa kwenye vyombo vya habari kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani