Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM Yatangaza vita

nnauyeCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kufanya maandalizi ya kupigana na wafuasi wa vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kinaowatuhumu kuwashambulia wanachama wake.

Kimesema uamuzi huo umekuja baada ya kuchoshwa na vurugu zinazofanywa na wafuasi wa Ukawa katika maeneo mbalimbali hapa nchini hususan wakati wa kutangaza matokeo na uapishaji wa viongozi wa Serikali za Mitaa.

Mpango huo wa mapambano umetangazwa jana na Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi wa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi yatangaza vita Simiyu

JESHI la Polisi mkoani Simiyu limetangaza vita dhidi ya watu wanaojihusisha na mauaji ya vikongwe. Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya mfanyabiashara maarufu mjini Bariadi, Hidaya Sayi (38) kuuawa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kenya yatangaza vita dhidi ya Rushwa

Rais Uhuru Kenyata ametangaza kuwa Rushwa ni tishio la usalama wa taifa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tunisia yatangaza vita dhidi ya ugaidi

Rais wa Tunisia, Beji Caib Essebsi, amesema nchi yake imo vitani na ugaidi baada ya watu waliojihami kwa bunduki kuwaua watalii

 

9 years ago

BBCSwahili

Senegal yatangaza vita dhidi ya wapiganaji

Rais wa Senegal Macky Sall ametangaza vita dhidi ya mfumo wa uanzishwaji wa makundi ya wapiganaji wa kijihadi.

 

11 years ago

Mwananchi

Samsung yatangaza vita ya bidhaa bandia

>Kampuni ya simu za mkononi na vifaa vya umeme ya  Samsung Tanzania imetangaza kuendeleza vita dhidi ya bidhaa bandia zinavyoghushiwa, zilizoibwa na zisizokuwa na dhamana.

 

9 years ago

Vijimambo

9 years ago

Michuzi

CCM YATANGAZA UTEUZI WA WAGOMBEA WA MAJIMBO 11 YALIYOKUWA YAMEBAKIA

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo mchana,katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam kuhusiana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa majimbo 11 nchini yaliyokuwa yamebakia
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa leo Agosti 17, 2015 katika kikao chake cha siku moja kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

GPL

BREAKING NEWS: CCM YATANGAZA WAGOMBEA WATANO WA URAIS

Kikao cha KAMATI KUU (CC) kimekamilika na kufanikiwa kuwateua wagombea wake 5 ambao ni: 1) Bernard Membe 2) John Magufuli 3) Asha Rose Migiro 4) January Makamba 5) Amina S. Ali. Hatua inayofuata ni majina ya wagombea hawa kukabidhiwa kwa HALMASHAURI KUU YA TAIFA (NEC) ili kupata majina matatu (3) yatakayopigiwa kura kwenye Mkutano Mkuu…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani