Sauti za wasanii kwa Bunge la Katiba
>Inahitajika sheria ili kufanya biashara ya sanaa nchini. Kwa kipindi kirefu sasa wasanii wamekuwa wakipiga vita wizi kazi za sanaa, pamoja na urasimishwaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
wasanii wavamia bunge maalumu la katiba kudai haki zao zitambulike katka katiba mpaya dodoma
Wsanii 12 wakiwemo viongozi toka Shirikisho la muziki, Shirikisho la Filamu, Shirikisho la Sanaa za ufundi, Mtandao wa Wanamuziki Tanzania walifunga safari na kuvamia Dododma na kuwa na mfululizo wa mikutano na wabunge mbalimbali ili kuwashawishi waunge mkono vipengele viwili ambavyo wasanii wanavitaka katika Katiba 1. Kundi la wasanii kutambuliwa katika Katiba kama vile walivyotambuliwa Wakulima, wafugaji, wavuvi na wafugaji walivyotajwa 2. Milliki Bunifu kwa kiingereza Intellectual...
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Sauti za Busara liwe darasa kwa wasanii
TAMASHA la Sauti za Busara ambalo hufanyika kila mwaka visiwani hapa ni miongoni mwa matukio makubwa ya muziki Afrika, ambalo hutoa fursa kwa wanamuziki kupiga muziki ‘live’ kwa kutumia jukwaa...
11 years ago
Michuzi28 May
WITO KWA WASANII: Sauti za Busara 2015
11 years ago
Mwananchi10 May
MAONI: Wasanii, tumieni fursa kwa sauti moja, mueleweke...
11 years ago
VijimamboWASANII WATINGA VIWANJA VYA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUSIKILIZA RASIMU ILIYOPENDEKEZWA.
10 years ago
MichuziRADIO ZA JAMII ZASHUKURU KWA KUPOKEA KATIBA INAYOPENDEKEZWA KWA NJIA YA SAUTI
Wakizungumza na Focus Media ambao ndio waandaaji na wasambazaji wamekiri kwamba wamepokea kwa wakati muafaka, kwani hawakuwa na chanzo sahihi cha kupata maudhui yanayohusu elimu ya uraia na uchaguzi mkuu na kura ya maoni.
Baadhi ya wasimamizi...
10 years ago
Dewji Blog09 Apr
Redio za jamii zashukuru kwa kupokea Katiba Inayopendekezwa kwa njia ya sauti
Wasimamizi wa redio za jamii wakisikiliza kwa makini wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Mtandao wa redio za Jamii, Joseph Sekiku akiongea machache kabla ya kuwagawia wasimamizi wa redio za jamii wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi11 Aug
Bunge lakodi vipaza sauti kwa Sh8.9 milioni kila siku