Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Scolari;Hofu imetanda kambini

Kocha wa Brazil, Luiz Felipe Scolari amekiri hofu imetanda katika kikosi chake kabla ya mechi dhidi ya Chile

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Scolari: tutajitahidi dhidi ya Ujerumani

FIFA imekatalia mbali ombi la Brazil la kufutilia mbali marufuku ya Thiago Silva.

 

11 years ago

CloudsFM

SCOLARI:TUTAFANYA VIZURI BILA NEYMAR

Kocha wa Brazil Luiz Filipe Scolari amesema vijana wake wataweza kucheza bila ya mshambuliaji wake aliyeumia, Neymar, watakapocheza na Ujerumani siku ya Jumanne katika nusu fainali ya Kombe la Dunia. Neymar amepachika mabao manne kati ya manane yaliyofungwa na Brazil katika michuano hiyo, lakini hatoweza kuendelea kucheza baada ya kuumia uti wa mgongo katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Colombia. Scolari amesema kikosi chake kiko makini na shughuli inayowakabili. "Neymar ametekeleza...

 

11 years ago

BBCSwahili

Scolari adaiwa kukwepa kulipa kodi

Kocha wa timu ya taifa ya Brazil Luiz Felipe Scolari,atachunguzwa na polisi licha ya kocha huyo kukanusha madai kuwa alikwepa kulipa kodi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Brazil:Luiz Felipe Scolari aacha kazi

Kocha wa timu ya taifa ya Brazil,Luiz Felipe Scolari, ameacha kazi kama meneja wa timu hiyo

 

11 years ago

GPL

KOCHA WA BRAZIL FELIPE SCOLARI AACHIA NGAZI

Luiz Felipe Scolari. KOCHA wa timu ya Taifa Brazil, Luiz Felipe Scolari ametangaza rasmi kuachia nafasi ya ukocha katika kikosi hicho baada ya matokeo mabaya katika michuano ya Kombe la Dunia 2014. Scolari amelaumiwa kwa kushindwa kuiongoza Brazil iliyoambulia nafasi ya nne katika muchuano hiyo iliyoandaliwa nyumbani kwao huku ikishuhudia kombe likienda kwa Ujerumani. ...

 

11 years ago

TheCitizen

Scolari angry at claims Brazil can ‘choose’ next opponents

Brazil coach Luiz Felipe Scolari on Sunday hit back at claims by Netherlands coach Louis van Gaal that Fifa have manipulated the World Cup schedule in the hosts’ favour.

 

11 years ago

BBCSwahili

Scolari kuamua hatma yake baada ya kombe

Mkufunzi wa Brazil Luiz Felipe Scolari amesema ataamua mustakabali wake baada ya fainali ya kombe

 

11 years ago

GPL

DUNGA ACHUKUA MIKOBA YA SCOLARI KUINOA BRAZIL

Kocha mpya wa Brazil, Dunga. Mchezaji wa zamani wa Brazil, Carlos Caetano Bledorn Verri 'Dunga', amepewa mikoba ya kukinoa kikosi cha Brazil baada ya kocha Luiz Felipe Scolari kujiuzulu. Dunga amepewa kikosi hicho kilichoboronga katika michuano ya Kombe la Dunia 2014 iliyofanyika nyumbani kwao huku timu hiyo ikiambulia nafasi ya nne. Kikosi hicho pia kilipata dhahama baada ya kipigo cha mabao 7-1 dhidi ya mabingwa wa kombe...

 

11 years ago

TheCitizen

World Cup disaster leaves Scolari reputation tainted

Luiz Felipe Scolari may have been the coach when Brazil won the World Cup in 2002, but his name will now forever be associated with failure and the worst result in the country’s footballing history.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani