Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Selfie’ zafungua ukurasa mpya wa ulimwengu wa simu

Ilianza kama tabia ya mtu mmoja mmoja kujipiga picha kupitia kamera za simu za mkononi. Wengi waliokuwa wakijipiga picha hizo walilazimika kulengesha kwa shida kamera za simu zao zilizo nyuma ya simu ili kupata picha nzuri.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

M2 The P achora tattoo mpya ya Mangwea, asema amefunga ukurasa wa kumzungumzia

Rapper M2 The P amechora tattoo mpya ya rafiki yake marehemu Albert Mangwea, na kudai kuwa tattoo hiyo ni ishara ya kufunga ukurasa wa kumzungumzia baada ya kumweka mwilini mwake. Akizungumza na Bongo5, M2 The P amesema aliwaahidi mashabiki kuwa atachora tattoo ya rafiki yake huyo ili abaki mwilini mwake milele. “Tatoo ni deni, kwa […]

 

10 years ago

Vijimambo

KAMPUNI YA SIMU YA TECNO YAZINDUA SIMU MPYA YA PHANTOM 5 WENGI WAICHANGAMKIA

  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana akionesha simu aina ya Phanton 5 wakati wa uzinduzi wa tolea jipya la simu hizo uliofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wadau mbalimbli wakiwa kwenye uzinduzi huo. Uzinduzi wa simu hiyo toleo jipya ukiendelea.

 Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.  Meneja Mauzo wa Simu za Tecno, Fred Kadilana  (kulia), akiwagawia zawadi ya simu hiyo baadhi ya waandishi waliouliza maswali mbalimbali. Wanahabari wakipokea zawadi ya simu hiyo ya kisasa toleo...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNIYA SIMU ZA MKONONI ZA HUAWEI WAZINDUA SIMU MPYA AINA YA HUAWEI P8

 Meneja  Mkazi wa kampuni  ya Simu za mkononi,  Peter  Zhang akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu  uzinduzi wa simu mpya ya kisasa ya Huawei P8 katika Ukumbi wa Hoteli ya Hyatt Regence  leo Jiji Dar es Salaam. Mkurungenzi wa Masoko  wa Huawei Tanzania Mamson Mjwala  akizungumza juu ya ubora wa betri ya simu hiyo aina ya Huawei P8 kwamba mfumo wa simu imezingatia matumizi ya muda mrefu mtumiaji anaweza kutumia simu kwa  siku nzima bila kuiongezea umeme huku kwa wale watumiaji...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI WA UTARATIBU MPYA WA KUSAJILI NA KUHAKIKI NAMBA ZA SIMU ZA MKONONI KWA TEKNOLOJIA MPYA YA KYC KUPITIA SMARTPHONE LEO JIJINI DAR.

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma akifungua mkutano na waandishi wa Habari na kuzungumzia umuhimu wa kusajili namba za simu za Mkononi na Mfumo mpya wa kusajili namba na kuhakiki kutumia Teknolojia mpya ya Kielekroniki. Mwenyekiti wa umoja wa makampuni ya mawasiliano Tanzania ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bwana Rene Meeza akitamka Rasmi Uzinduzi wa usajili mpya wa simu za mikononi kwa kutumia Teknolojia mpya ya kutumia smart phone...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel yazindua simu mpya

KAMPUNI ya simu za mkononi ya Airtel, imetangaza ushirika wake na kampuni kubwa inayotengeneza simu za mkononi aina ya Apple. Airtel imeweka historia kwa kuwa kampuni ya kwanza ya mawasiliano...

 

10 years ago

Michuzi

HUAWEI yazindua simu mpya ya Ascend P8

Baadhi ya waandishi walioudhuria uzinduzi wa simu mpya ya Huawei Ascend P8, iliyozinduliwa hivi karibuni jijini London 
KAMPUNI nguli sekta ya teknolojia  ya habari na mawasiliano ya Huawei imezindua simu mpya aina ya Ascend P8 ikiwa ni muendelezo wa kampuni hiyo kuleta mapinduzi kwenye nyanja ya mawasiliano ulimwenguni. Akizungumza kwenye uzinduzi wa simu hiyo kimataifa uliofanyika kwenye jiji la London, Uingereza mwishoni mwa wiki, Afisa Mtendaji Mkuu wa Biashara wa kampuni hiyo, Bw....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani