Serengeti yapoteza tembo 87 kwa miaka 5
WAKATI Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na wadau wa uhifadhi wakitafuta mbinu za kuzuia mauaji ya tembo yanayoendelea kwenye hifadhi mbalimbali nchini, zaidi ya tembo 87 wameuawa katika kipindi cha miaka mitano iliyopita kwenye Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo15 Nov
Watupwa jela miaka 20 kwa meno ya tembo
WAKAZI wawili wa Dar es Salaam, wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela au kulipa faini ya Sh milioni tano kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na meno ya tembo.
11 years ago
Habarileo12 Mar
Wachina jela miaka 5 kwa meno ya tembo
RAIA wawili wa China wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya Sh milioni moja baada ya kukutwa wakisafirisha meno ya tembo. Qui Wu (30) na Zou Zhihong (51) ambao walikutwa na meno ya tembo, zilizotengenezwa kama bangili na kinyago.
9 years ago
Mwananchi23 Sep
Ujangili wapoteza asilimia 67 ya tembo kwa miaka minne
9 years ago
Mtanzania18 Nov
Jela miaka saba kwa kukamatwa na shanga za meno ya Tembo
FARAJA MASINDE NA GODFREY MBANILE (GPC), DAR ES SALAAM
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, imemhukumu kwenda jela miaka saba sambamba na kulipa faini ya Sh milioni 20, Feng Quan (38), raia wa China, baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na goroli 767 za shanga zilizotengenezwa kwa meno ya tembo yenye thamani ya Sh milioni 5.8 ambayo ni nyara za serikali.
Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi, John Msafiri, baada ya mtuhumiwa kukutwa na hatia ya kutumia nyara hizo zenye...
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Tembo auawa hifadhi ya Serengeti
10 years ago
Dewji Blog27 Nov
Serengeti yatoa zawadi ya Limo Bajaj kwa mshindi wa kwanza wa promosheni ya “Tutoke na Serengeti”
Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney (kulia) akiongea na waandishi wa habari hawapo Pichani, wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya Tutoke na Serengeti, ambapo Bi.Rukia Athuman Almas toka Kihonda-Morogoro ameibuka mshindi wa kwanza na kujinyakulia Limo Bajaji mpya yenye thamani ya tsh milioni tisa, kushoto ni mkaguzi toka bodi ya Michezo ya bahati nasibu.
Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney (kulia) akiongea kwa njia ya simu ya mkononi na Rukia Athuman Almas ambaye ni mshindi...
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) yahitimisha kampeni ya “Serengeti Masta” kwa kishindo jijini Dar
Mshiriki wa shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta kwa wilaya ya Temeke Emmanuel Nyaulingo (kulia) akipokea zawadi ya fulana kabla ya shindano hilo kuanza rasmi ambalo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika baa ya Kisuma iliyopo Temeke jijini Dar es salaam. (kushoto) ni balozi wa bia ya Serengeti Premium Lager Caroline Vincent na anayeshudia (katikati) ni mshereheshaji wa shindano hilo Richard Godwin. Kampeni hiyo inafikia tamati jijini Dar es salaam baada ya kumalizika mikoani pia...
10 years ago
Bongo521 Sep
City of Tshwane yapoteza tshs bilioni 8.9 kwa kufutwa kwa tamasha la TribeOne