Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali: Dengue ni hatari

Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imetoa tamko kuwa ugonjwa wa homa ya dengue umefikia hatua mbaya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

GONJWA HATARI LA HOMA YA DENGUE

GLOBAL TV ONLINE inakuletea kipindi maaalum kinachoelezea kwa undani gonjwa hatari linalotikisa nchi kwa sasa la Homa ya Dengue.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali ilifanya siri ugonjwa wa dengue

Ugonjwa wa homa ya dengue ambao umezidi kusambaa mkoani Dar es Salaam na kuathiri wilaya zake tatu za Temeke, Ilala na Kinondoni umezua hofu na taharuki kubwa kwa wananchi.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yatahadharisha kuhusu ugonjwa wa Dengue

Serikali jijini Dar es Salaam imetoa tahadhari kuhusu kuwepo kwa dalili za kufumuka kwa ugonjwa wa Dengue katika kipindi hiki cha mvua, huku ikiwataka wananchi wanaoishi mabondeni kuhama maeneo yao ili kunusuru maisha yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali inafanya mzaha na ugonjwa wa dengue

Nchi nzima imekumbwa na taharuki kutokana na watu zaidi ya 400 kuugua homa ya dengue na tayari watu watatu wamepoteza maisha, akiwamo daktari bingwa wa magonjwa ya akili aliyekuwa akifanya kazi Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI IMESEMA MATIBABU YA DENGUE HUTOLEWA BILA MALIPO

Na Magreth Kinabo – MAELEZO 
 Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Said Meck Sadiki, amewataka wananchi wa mkoa huo wanapohisi wana dalili za ugonjwa wa dengue kuwenda katika hospitali za Serikali kwa kuwa matibabu hutolewa bila malipo.
Kauli  hiyo imetolewa na Mkuu huyo wakati akizungumza na waandishi wa habari  baada ya kuulizwa swali juu ya  gharama   kubwa za matibabu ya ugonjwa huo, kwenye ukumbi wa mkutano wa Mwalimu J.K. Nyerere jijini Dares Salaam.
 “Tunaomba wananchi wanapohiisi...

 

11 years ago

Michuzi

SERIKALI YA ZANZIBAR YATOA TARIFA JUU YA UGONJWA HATARI WA EBOLA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohammed Aboud Mohamed akizungumza na wanahabari Ofisini kwake Vuga kuhusu Ugonjwa wa Ebola na mikakati ambayo SMZ inaendelea kuichukuwa ili kukabiliana na ugonjwa huo hatari, hadi sasa hakuna mgonjwa alieyegundulikana na ugonjwa huo Zanzibar. NA/JAMILA ABDALLA –MAELEZO ZANZIBAR.
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  imeanza kuchukua hatua mbali mbali za kukabiliana na Ugonjwa hatari wa Ebola ambao unazidi kusambaa katika nchi mbali mbali Barani...

 

11 years ago

Michuzi

BARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!

Barabara ya Kijichi – Mbagala Kuu, ndani ya jiji la Dar es Salaam kama ilivyokutwa jana na Mdau Nathan Mpangala. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Butiama, Bw. Haji Mgaya, alisema, dhahma hiyo ni ya muda mrefu na Manispaa ya Temeke ina taarifa hiyo kwa kupindi chote hivyo,lakini mpaka leo iko kimya tu.  Hapa dereva ‘akilala’ tu, kilio kitongoji kizima zikifuatiwa na salamu za rambirambi nyiiingi toka kwa viongozi. Inawezekana Manispaa ya Temeke haina picha halisi ya hatari...

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali na wadau mbalimbali kuendelea kutoa elimu kwa makundi yaliyo katika hatari ya kupata maambukizi ya VVU

NACP -1

Mkurugenzi wa Udhibiti na Uhakiki wa Wizara ya Afya  Dkt.Mohamed Ally Mohamed akionyesha moja ya chapisho lenye taarifa za tafiti za watu walio katika makundi maalum na hali ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi  katika mikoa 7 lililotambulishwa jana jijini Dar es salaam.

Na Aron Msigwa – MAELEZO

SERIKALI imesema kuwa itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya Afya kutoa elimu kwa makundi ya watu wanaotumia dawa za kulevya na wale wanaojihusisha na biashara ya ngono katika maeneo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani