Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali imesahau kutaja majina ya majangili?

Wakati Serikali ilipotangaza kuanza rasmi kwa awamu ya pili ya ‘Operesheni Tokomeza Ujangili’ mapema Februari, mwaka huu baada ya kusitishwa kwa miezi mitatu, wananchi wengi walipata matumaini kwamba operesheni hiyo ingeanza mara moja ili kudhibiti kasi kubwa ya mauaji ya tembo katika hifadhi za wanyama iliyokuwa ikiendelea. 

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Operesheni hii ianze kwa kutaja wabunge majangili

>Serikali imetangaza rasmi kuanza upya kwa ‘Operesheni Tokomeza Majangili’, baada ya kuisitisha zaidi ya miezi mitatu iliyopita kutokana na operesheni hiyo kukumbwa  na matatizo ya utekelezaji, ambapo vilitokea vitendo vya ukatili na mateso na kuwaacha raia 13 na askari 6 wakiwa wamepoteza maisha.

 

9 years ago

Michuzi

WAANDISHI WAMETAKIWA KUTAJA MAJINA SAHIHI YA WATU WENYE ULEMAVU KUEPUKA UNYANYAPA

 Mwezeseshaji wa mafunzo ya waandishi wa habari katika uchaguzi jumuishi,kwa watu wenye ulemavu,Blandina Sembu akizungumza na waandishi wa (habari hawapo pichani) juu ya waandishi kuhamasisha watu wenye ulemavu kupiga kura katika mazingira rafiki katika semina iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya waandishi wakifatilia maada katika semina iliyoandaliwa  na SHIVYAWATA BA panoja na Chama cha Waandishi wa habari Mkoa wa Dar es Salaam(DCPC) iliyofanyika jijini Dar es Salaam
Na Chalila...

 

11 years ago

Mwananchi

Majina ya wabunge ‘majangili’ siri kubwa

Utata umeibuka kuhusu wabunge waliotajwa kwenye ripoti ya Kamati ndogo ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuwa wanahusika na biashara ya pembe za ndovu.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali imewekeza katika siasa, imesahau wakulima

Zipo dalili nyingi zinazoonyesha kwamba kuna uwezekano mkubwa nchi yetu ikakumbwa na janga kubwa la njaa mwakani.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kutaja bei elekezi ada shule za msingi

KILIO cha siku nyingi cha wazazi kuhusu ada za shule za msingi na sekondari, kimesikika na hivi karibuni Serikali itakuja na jibu la kudhibiti ada hizo. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, amesema hayo jana wakati alipozindua mfumo wa ada elekezi kwa vyuo vya elimu ya juu nchini. Amesema kwa sasa Serikali iko katika mchakato wa kuja na bei elekezi ya ada kwa ajili ya shule za msingi na sekondari.

 

10 years ago

Mwananchi

Majangili kushamiri ni uzembe wa Serikali

Kwa zaidi ya wiki moja iliyopita kulikuwa na maandamano yaliyoongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii na wadau wa utalii na mazingira nchini. Maandamano hayo yalipinga kuendelea kwa vitendo vya ujangili hasa yale yanayohusisha mauaji ya kutafuta meno ya tembo katika mapori yetu. Mimi niliyaunga mkono ila lawama zangu ni kwa Serikali, na siyo majangili tu.

 

11 years ago

Mwananchi

Hivi kweli Serikali haiwezi kupambana na majangili?

Tuna vita mikononi mwetu hivyo ni muhimu tutumie kila tulichonacho kupambana na kushinda vita hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mugabe atarajiwa kutaja makamo mpya

Siku ya mwisho ya mkutano mkuu wa chama tawala yatarajiwa kuwa siku ya kutangaza makamo wa rais mpya wa Zimbabwe

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani