Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali imewekeza katika siasa, imesahau wakulima

Zipo dalili nyingi zinazoonyesha kwamba kuna uwezekano mkubwa nchi yetu ikakumbwa na janga kubwa la njaa mwakani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali imesahau kutaja majina ya majangili?

Wakati Serikali ilipotangaza kuanza rasmi kwa awamu ya pili ya ‘Operesheni Tokomeza Ujangili’ mapema Februari, mwaka huu baada ya kusitishwa kwa miezi mitatu, wananchi wengi walipata matumaini kwamba operesheni hiyo ingeanza mara moja ili kudhibiti kasi kubwa ya mauaji ya tembo katika hifadhi za wanyama iliyokuwa ikiendelea. 

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali isipeleke siasa katika nyumba za ibada

Tunalaani vikali hatua ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi kufanya kampeni za kisiasa kanisani kwa kuwataka waumini kupinga muundo wa serikali tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, kwa madai kwamba muundo huo utasababisha nchi yetu itawaliwe na jeshi eti kwa kuwa Serikali ya Muungano itashindwa kulipa mishahara ya wanajeshi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakulima watekeleza Azimio la Siasa ni kilimo kwa vitendo

Mwaka 1972, Mwalimu Julius Nyerere akiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alitangaza Azimio la Iringa lililokuwa na kauli mbiu ya ‘Siasa ni Kilimo.’

 

9 years ago

Raia Mwema

Tanzania ya Magufuli, imewekeza kwenye nini?

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepatikana.

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

CloudsFM

KAMPUNI YA BME IMEWEKEZA ZAIDI YA MILIONI 40 KWENYE MUZIKI WA AMINI

Hivi karibuni msanii wa Bongo Flava, Amini aliagwa rasmi na nyumba ya kukuza vipaji ya T.H.T ambako alikuwepo kwa zaidi ya miaka 10, kuanzia kufundishwa muziki hadi akaanza kutengeza pesa kupitia ngoma na album alizowahi kuachia.

Amini aliagwa T.H.T baada ya kupata mkataba wa kibiashara na kampuni ya BME,Clouds Fm imepiga stori na mkurugenzi wa kampuni hiyo amefunguka malengo ya BME kwa Amini na na kwamba kampuni hiyo imewekeza zaidi ya mill.40 kwenye muziki wa msanii huyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kuinua wakulima wanawake

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Anna Maembe amesema Serikali itawasaidia wakulima wadogo wanawake ili kuleta tija katika sekta ya kilimo.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kutafutia wakulima masoko

>Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda amesema Serikali inaendelea na mikakati mbalimbali ya kuwatafutia wakulima masoko na pia kuongeza Sh45 bilioni kwa ajili ya kununua mazao yao.

 

10 years ago

Mtanzania

Wafugaji, wakulima waibebesha mzigo Serikali

wafugajiNa Mauli Muyenjwa, Dar es Salaam
JAMII ya wakulima na wafugaji wamedai kutokumalizika kwa migogoro ya ardhi kati ya jamii hizo, inatokana na viongozi wa Serikali kushindwa kutimiza wajibu wao.
Kauli hiyo ilitolewa na mwakilishi wa wakulima kutoka Wilaya ya Kilosa, Airu Mustafa katika kongamano la mwisho la Kigoda cha Mwalimu Nyerere lililofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jana.
Alisema suluhisho pekee la tatizo hilo, ni kutowapa nafasi watu wanaotaka uongozi katika uchaguzi mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani