Serikali inajidhalilisha kufungua kesi za kufikirika
Katika hali inayodhihirisha kwamba Serikali inaendelea kujidhalilisha kwa kupeleka kesi mahakamani zisizo na vichwa wala miguu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana iliwaachia huru washtakiwa watatu katika kesi iliyofunguliwa na Serikali, ikidai kwamba watu hao waliandika na kuchapisha makala katika gazeti la Tanzania Daima ikilenga kuwachochea askari wa majeshi ya ulinzi na usalama wasitii amri za viongozi wao, hivyo kuhatarisha usalama wa Taifa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo24 Oct
Mgombea aahidi kufungua kesi za ardhi
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha UPDP, Fahmi Dovutwa ameahidi kugawa fomu za malalamiko ya ardhi na kufungua kesi kwa niaba ya wananchi.
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Wakili Minde ashauri gharama za kufungua kesi zipunguzwe
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Mchungaji Mtikila kufungua kesi kupinga Katiba Mpya
9 years ago
Mwananchi13 Nov
Mgombea ubunge CUF akwama kufungua kesi Mahakama Kuu
11 years ago
Michuzimchoro wa kufikirika wa mkoa wa kilimanjaro
11 years ago
Mwananchi06 May
Wabunge wakatae kupitisha Bajeti ya kufikirika
9 years ago
VijimamboKIWIA AKANUSHA KUZIMIA BAADA YA MATOKEO KUTANGAZWA. ASEMA ANATARAJIA KUFUNGUA KESI MAHAKAMANI KWANI BADO HAJASAINI MATOKEO.
Aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza na Mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Highness Kiwia, anatarajia kufungua kesia ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimboni humo kwa madai kwamba haukuwa wa huru na haki kutokana na kugubikwa na changamoto mbalimbali.
Kiwia ambae ameshindwa kutetea jimbo hilo baada kuchukuliwa na Angelina Mabula kutoka Chama cha Mapinduzi CCM,...
10 years ago
MichuziJK kufungua mkutano wa Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Jakaya Kikwete anatarajia kufungua mkutano wa Kanda ya Afrika kuhusu Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi (OGP).
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu inaeleza kuwa mkutano huo wenye kauli mbiu isemayo “Kuimarisha Utawala Bora Unaozingatia Uwajibikaji na Uwazi” utafanyika Mei 20 hadi 21, 2015 katika ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Aidha, imeeleza kuwa dhumuni la mkutano huo...
10 years ago
MichuziSERIKALI YAIPONGEA BENKI YA ACCESS KUFUNGUA TAWI LAKE JIJINI MBEYA