Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI ITAWACHUKULIA HATUA ZA KISHERIA WATAKAOKAIDI AGIZO LA NEC - RAIS KIKWETE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) amewataka wananchi wote wenye haki ya kupiga kura kuhakikisha wanaheshimu maagizo ya Tume ya Uchaguzi ya kuwataka waondoke katika vituo vya kupigia kura mara baada ya kumaliza zoezi la upigaji kura.
Rais Kikwete Amesema kuwa wenye jukumu la kukaa kituoni ni Mawakala wa wagombea na sio wapiga kura wote kama inavyodaiwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa.Rais Kikwete ametoa kauli hiyo leo mjini Dodoma wakati wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

RC Dar atekeleza agizo la Rais Kikwete

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki kwa kushirikiana na uongozi wa Manispaa ya Kinondoni, ameanza kutekeleza agizo lililotolewa na Rais Jakaya Kikwete la kuondoa maji katika makazi ya watu kwenye maeneo mbalimbali ya Manispaa hiyo yaliyosababishwa na mvua zilizokuwa zikinyesha jijini hivi karibuni.

 

9 years ago

Vijimambo

NHIF YATEKELEZA AGIZO LA RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE

1 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Michael Mhando akiangalia kadi za matibabu ambazo alizikabidhi kwa wasanii ambao wametimiza taratibu za kujiunga na Mfuko huo.4Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Rehani Athumani akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusiana na utaratibu wa kujiunga na Mfuko huo.
6Bw. John Kitime akielezea jambo kwa waandishi wa habari muda mfupi baada ya kupokea kadi yake ya matibabu. 2Msanii Aisha Salvador akipokea kadi ya matibabu kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Rais Kikwete hatua zinahitaji

RAIS Jakaya Kikwete, juzi akiwa mkoani Mwanza, ameziagiza Halmashauri nchini kuepuka vishawishi vya kutumia fedha za maendeleo ya wananchi katika kulipia posho za vikao vya madiwani. Agizo hilo alilotoa wakati...

 

10 years ago

Mwananchi

Wataka hatua za kisheria kwa wahusika

Wasomi, wanasiasa na wanaharakati wametaka hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa wote waliohusika na uchotwaji wa fedha katika akaunti ya escrow.

 

10 years ago

Mwananchi

Hatua ya kubadili umiliki wa hati ya ardhi kisheria

Makala hii ni mwendelezo wa makala iliyopita. Umechukua hatua za msingi wakati wa kununua ardhi na umejiridhisha kuwa sasa hiyo ardhi ni mali yako kwa mujibu wa mkataba uliojaza na kusainiwa mbele ya mwanasheria?

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Bilal: Wanaohujumu miundombinu nchini wachukuliwe hatua za kisheria

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal amesema watu wanaobainika kuhujumu miundombinu inayowekezwa nchini wachukuliwe hatua kali bila kujali wadhifa au kazi zao.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wanaharakati walipongeza Bunge, wataka hatua zaidi kisheria

Wasomi mbalimbali nchini wamelipongeza Bunge kwa kufanya uamuzi kwa maridhiano na kutoa mapendekezo manane kwa Serikali ili ichukue hatua dhidi ya wote waliohusika katika wizi wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

9 years ago

Dewji Blog

ZEC: Maalim Seif anapaswa kuchuliwa hatua za kisheria kwa kutangaza matokeo

Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imesema imesikitishwa na kitendo cha mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF) kujitangazia ushindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili tarehe 25 Oktoba, 2015 na imevitaka vyombo vinavyosimamia utii wa sheria kumchukulia hatua kiongozi huyo wa CUF.

“kitendo cha Maalim Seif kujitangaza mshindi amevunja kifungu cha 42 (5) cha sheria ya mwaka 1984 ambacho kinaipa mamlaka Tume ya Uchaguzi kuwa chombo pekee chenye mamlaka hayo” Mwenyekiti...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais apokea Ripoti ya CAG na kuagiza hatua kali zichukuliwe kwa wabadhirifu wa fedha za Serikali

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameviagiza vyombo vya Serikali kubaini maofisa wote wa Serikali wanaohusishwa na matumizi mabaya ya fedha za Serikali, ikiwa ni pamoja na kutoa malipo bila nyaraka zozote, kutumia fedha nje ya Bajeti na kutoa malipo bila idhini ya ofisa masuhuli, ili wachukuliwe hatua kali za kisheria na hatua nyingine.

Aidha, Rais Kikwete ameagiza kuchukuliwa kwa hatua kali za kisheria kwa maofisa wote wa Serikali ambao wanahusika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani