SERIKALI KUENDELEA KUWAKINGA WATUMISHI WA AFYA NA UGONJWA WA COVID-19
![](https://1.bp.blogspot.com/-0ctACJ-m2Os/XqkRorSGpOI/AAAAAAAC4KA/Uq0xQCbGWTAn9NP_6AdYbEZgytj_nxTeQCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
Na WAMJW – Dar es SalaamSerikali itaendelea kuwalinda watumishi wa afya ili wasipate maambukizi wakati wakiwahudumia wagonjwa wenye Virusi vya Corona (COVID-19) kwa kuwapa vifaa kinga na mafunzo ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa hao.
Hayo yamesemwa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (WAMJW) Ummy Mwalimu wakati wa kikao baina yake na wamiliki wa Hospitali binafsi na viongozi wa vyama vya kitaaluma vya afya.
Waziri Ummy alisema ni jukumu...
CCM Blog