Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI KUJADILI HATMA YA WAMACHINGA NCHINI

SERIKALI imeingilia kati manyanyaso wanayopata wafanyabiashara ndogo na mamalishe nchini, kwa kuamua kuunda kikosi cha kiofisi, kitakachohusisha wajasiriamali hao kwa lengo la kukubaliana juu ya maeneo na muda mwafaka wa kuendesha shughuli zao.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliliambia Bunge jana kwamba Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imewasilisha mapendekezo hayo kwake, juu ya hatua za kutatua tatizo hilo.

Pinda alisisitiza kwamba wazo hilo la Tamisemi ni...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Putin azuru Iran kujadili hatma ya Syria

Rais Putin anazuru Tehran kwa mazungumzo na kiongozi wa Iran kuhusiana na mapigano yanayoendelea nchini Syria.

 

11 years ago

Michuzi

WANATAALUMA NA WANAZUONI WA KIISLAM WAKARIBISHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN KUJADILI HATMA YA TAIFA NA VIJANA

Washiriki wakifuatilia Majadiliamo katika Kongamano la  Kukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani la Mwaka 2014 ambapo "Vijana Wetu, Hazina Yetu" ndio  Kauli Mbiu ya Mwaka huu.  Dr. Salha Mohamed akichangia mada kuhusu hali za Vijana Mayatima na Jinsi Jamii ya Kitanzania inavyoshindwa kuwaangalia na kuwaokoa na Changamoto za Dunia ya Leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.  Prof Mohamed Badamana akifafanua jinsi gani Malezi na Maadili Bora...

 

10 years ago

Michuzi

UNDP “yaipiga jeki” Serikali namna ya kuandaa, kujadili na kusimamia miradi mikubwa na mikataba ya gesi asilia Nchini

Picha ya pamoja ya washiriki wa Warsha ya kujenga uwezo kwa maafisa wa Serikali kutoka taasisi mbalimbali. Kutoka kushoto (waliokaa) ni Bw. Styden Rwebangila kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Bi.Anna Shakarova ambaye ni Mkurugenzi wa Program wa Maendeleo ya Kiuchumi, Bw. Yohane Masara –Kaimu Mkurugenzi,Divisheni ya Mikataba kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali(katikati),Bw.Steven Sparling na Bi Clare Power kutoka Kampuni ya Uwakili ya K&L Gates ambao ni wawezeshaji wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Bodi ya Chelsea yakutana kujadili hatma ya Mourinho, baadhi ya makocha watajwa kuchukua mikoba yake, listi ipo hapa

Chelsea_manager_Jose_Mourinho_has_been_under_pressure_lately_aft-a-46_1445718274698 (1)

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Bodi ya Chelsea ikiongozwa na mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich imekutana jana jumatano kujadili kuhusu hatma ya kocha wa timu hiyo, Jose Mourinho (pichani) baada ya klabu hiyo kuendelea kupata matokeo mabaya ambayo hayawaridhishi viongozi na mashabiki wa timu hiyo.

Taarifa zinasema kuwa bodi hiyo ilikutana katika kikao kilichofanyika kwa masaa tisa kujadili hatma ya kocha wa timu yao licha ya mmiliki klabu kuonyesha hali ya kutamani kuendelea kufanya kazi na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tatizo si wamachinga, ni serikali

HIVI karibuni Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) ilitangaza kuanzisha Operesheni Safisha Jiji ya kuwaondoa wamachinga wote walio katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali itafute muafaka wa Wamachinga

TUNAPENDA kulaani kwa nguvu zote vitendo vya matumizi makubwa ya nguvu za dola kuwabughudhi wafanyabiashara ndogo ndogo mitaani, maarufu kama Wamachinga. Hata hivyo, hatuungi mkono hatua ya wafanyabiashara hao kukiuka...

 

9 years ago

Mwananchi

Wamachinga ‘waitupia’ ombi Serikali ijayo

Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama wamachinga, wameomba viongozi watakaochaguliwa kuwaandalia eneo la kudumu la kufanyia biashara ili kuondokana na vurugu za mara kwa mara kati yao na Serikali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali haina nia ya dhati na ‘Wamachinga’

MAMLAKA za miji nchini zimekuwa katika harakati za kusafisha miji, majiji na mitaa mbalimbali kwa lengo la kuboresha mandhari ya maeneo husika yaweze kuendana na hadhi zao. Waathirika wakubwa wa...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI MKOA WA ARUSHA YAIMARISHA ULINZI NA USALAMA ZOEZI LA WAMACHINGA SAMUNGE


Wamachinga wakiwa kwenye eneo la Soko la Samunge wakijiandaa kuanza Ujenzi wa vibanda vyao Mara baada ya zoezi la kugawa maeneo lilipoanza picha Zote na Ahmed Mahmoud Arusha


Michoro ya mgao wa maeneo ya vibanda vya soko la Samunge kama vinavyoonekana Leo Mara baada ya zoezi hilo la ugawaji kuanza Jana na Leo huku wengine wakianza kama walivyokutwa na kamera ya matukio jijini Arusha.













Ujenzi ukiendelea kama unavyoonekana pichani leo ndani ya eneo la soko la Samunge hilo ni eneo la Mashariki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani