Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI NA WADAU BINAFSI WASHAURIWA KUWASAIDIA WAJASIRIAMALI WA KITANZANIA

Balozi wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh kushoto Aliyekaa kwenye kiti akipata burudani ya Msewe iliyoandaliwa kwa ajili yake na Kikundi cha Sanaa cha Zanzibar mara baada ya Balozi huyo kumaliza ziara yake ya kuwatembelea Watanzania na kushauriana nao mambo mbalimbali ya kukuza soko katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea Mjini Mascut nchini humo. Picha na Faki Mjaka. Wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha Zanzibar wakicheza Ngoma aina ya Uringe kwa Balozi wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wizara ya Maendeleo ya Jamii yaendesha mkutano na wadau kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto imeendesha mkutano na wadau kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi kujadili taarifa ya utafiti uliyofanyika katika mikoa 10 nchini kwa kushirikiana na Mtaalamu kutoka Chuo kikuu cha Huddersfield nchini Uingereza.Mtafiti mwandamizi kutoka Chuo kikuu cha Huddersfield nchini Uingereza Prof. Berry Percy Smith akiwasilisha taarifa hiyo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Bibi Anna Maembe (katikati) akiendesha mkutano huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Tovuti ya kuwasaidia wajasiriamali yazinduliwa nchini

Wajasiriamali wazawa sasa wanaweza kurasimisha biashara zao kwa urahisi, ziwe ndogo au kubwa, baada ya kuanzishwa kwa tovuti iliyosheheni taratibu za kufuata pamoja na hati muhimu za kisheria zilizotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili ambazo ujazwa kabla ya kurasimisha biashara.

 

11 years ago

Michuzi

NSSF KUWAFIKIA WAJASIRIAMALI WAPYA MILIONI 22 WA SEKTA BINAFSI

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), imepanga kuwafikia wajasiriamali wapya zaidi ya milioni 22 walio katika sekta isiyo rasmi. Hayo yamesemwa na Meneja wa Mafao wa shirika hilo, James Oigo wakati wa Semina ya kukuza mitaji kwa njia ya ubia katika sekta zisizo za kibenki iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kuwashirikisha wadau mbalimbali. Semina hiyo ilidhaminiwa na NSSF, TPSF.
Akichangia mada katika semina hiyo, Oigo alisema kuwa NSSF inatoa mafao ya muda mrefu...

 

5 years ago

Michuzi

WANAWAKE WAJASIRIAMALI VISIWANI PEMBA WASHAURIWA KUTUMIA VIZURI NEEMA YA ZAO LA KARAFUU ILI KUZALISHA BIDHAA


Na Muhammed Khamis-TAMWA-Zanzibar

MKURUGENZI  wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake( TAMWA- Zanzibar)  Dkt.Mzuri Issa amewashauri wanawake wajasiriamali kisiwani Pemba kutumia  vizuri neema ya zao la Karafuu kisiwani humo kwa  kuzalisha bidhaa mbali mbali.

Dkt Mzuri aliyasema hayo leo Juni 27,2020 wakati alipokua akitizama baadhi ya bidhaa
zinazozalishwa na wajasirimaali hao kutoka Pemba huko ofisini kwake
Tunguu Wilaya ya kati Unguja.

Amesema zao la karafuu linaweza kuzalisha bidhaa mbali...

 

10 years ago

StarTV

Watafiti, wadau washauriwa kushirikiana utungaji wa sera

Watafiti nchini wamewashauri kushirikiana na watunga sera na wadau wa maendeleo wa sekta mbalimbali  kutambua umuhimu wa takwimu katika kutoa uamuzi na kutunga sheria zitakazolingana na takwimu husika.

Tanzania imeonekana kuwa na tatizo la kutotumia takwimu katika baadhi ya maeneo, hali inayosababisha  kuwepo kwa upungufu katika huduma za kijamii, hasa sekta ya elimu na Afya.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti na Sera (REPOA), Prof Samweli Wangwe, amesema kinachosababisha changamoto katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Kawambwa sasa awakera wadau kuhusu mchujo sekondari binafsi

Hivi karibuni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa alinukuliwa na vyombo vya habari akiagiza wamiliki wa shule binafsi kufuata viwango vya ufaulu vilivyowekwa na Serikali katika madaraja mbalimbali ya elimu ya sekondari.

 

11 years ago

CloudsFM

SUGU AITAKA SERIKALI KUWASAIDIA WAFANYABIASHARA WADOGOWADOGO

Kinachoendelea bungeni mjini Dodoma, baada ya bajeti kusomwa wiki iliy opita, sasa hivi ni wakati wa wabunge kuchangia mawazo na mitazamo yao kwenye bajeti hii ya mwaka wa fedha 2014/2015,, mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu, hivi karibuni aliishauri serikali kuwasaidia wafanyabiashara wadogo wadogo ili kuweza kunyanyua uchumi wao na taifa kwa ujumla.

 

11 years ago

GPL

WADAU WAOMBWA KUDHAMINI MAONYESHO YA KAZI ZA VIJANA WAJASIRIAMALI YATAKAYOFANYIKA DODOMA‏

Mkurugenzi wa Mtendaji wa Kampuni ya Aj It Development  Bw Jackson Audiface akizungumzia  kuhusu Maonyesho ya Tatu ya Kazi za Vijana wajasiriamali Yatakayofanyika Mkoani Dododma Mwezi Aprili mwaka huu.Maonyesho hayo ya kazi za Vijana wajasiriamali Hususani Vijana wanaosoma Vyuo Vikuu vya Dodoma. Lengo la Manonyesho hayo ni Kuzitangaza Kazi za Vijana wajasiriamali Wa Tanzania.Pili kuwapa Muda wadau Mbalimbali Kukutana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani