Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watafiti, wadau washauriwa kushirikiana utungaji wa sera

Watafiti nchini wamewashauri kushirikiana na watunga sera na wadau wa maendeleo wa sekta mbalimbali  kutambua umuhimu wa takwimu katika kutoa uamuzi na kutunga sheria zitakazolingana na takwimu husika.

Tanzania imeonekana kuwa na tatizo la kutotumia takwimu katika baadhi ya maeneo, hali inayosababisha  kuwepo kwa upungufu katika huduma za kijamii, hasa sekta ya elimu na Afya.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti na Sera (REPOA), Prof Samweli Wangwe, amesema kinachosababisha changamoto katika...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Washauriwa kushirikiana kibiashara

WAFANYABIASHARA wameshauriwa kujenga mtandao wa kibiashara na kujifunza kutoka kwa wengine iwe njia mojawapo ya kuwawezesha kufanikiwa katika uwekezaji.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watanzania washauriwa kushirikiana

WATANZANIA wameshauriwa kuunganisha nguvu na kushiriki katika ujenzi wa miradi mbalimbali ya kijamii ambayo wanaona inaweza kuwa na msaada katika kuwaletea maendeleo badala ya kusubiri serikali kufanya kila jambo. Wito...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania washauriwa kushirikiana na Polisi

WATANZANIA wameshauriwa kujenga utamaduni wa kushirikiana na vyombo vya dola, pamoja na kushiriki ulinzi shirikishi katika maeneo wanayoishi ili kudhibiti matukio ya uhalifu. Ushauri huo umetolewa hivi karibuni na Mkurugenzi...

 

5 years ago

Michuzi

IMF KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUIMARISHA SERA ZA KIUCHUMI



 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) akipeana mkono na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) nchini Tanzania, Bw. Jens Reinke, aliefika Ofisi za Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dodoma kujitambulisha.Mtakwimu Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBC), Dkt. Albina Chuwa (kulia) akieleza...

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI NA WADAU BINAFSI WASHAURIWA KUWASAIDIA WAJASIRIAMALI WA KITANZANIA

Balozi wa Tanzania nchini Oman Ali Ahmed Saleh kushoto Aliyekaa kwenye kiti akipata burudani ya Msewe iliyoandaliwa kwa ajili yake na Kikundi cha Sanaa cha Zanzibar mara baada ya Balozi huyo kumaliza ziara yake ya kuwatembelea Watanzania na kushauriana nao mambo mbalimbali ya kukuza soko katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea Mjini Mascut nchini humo. Picha na Faki Mjaka. Wasanii wa Kikundi cha Sanaa cha Zanzibar wakicheza Ngoma aina ya Uringe kwa Balozi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau wa habari wakubaliana kushirikiana

Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambao ni wadau wa habari, wamekubaliana kufanya kazi kwa karibu na Baraza la Habari Tanzania (MCT) na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ili kuboresha mahusiano kati ya Bunge hilo na waandishi wa habari wanaoripoti habari za Bunge hilo.

 

5 years ago

Michuzi

UDHIBITI WA SUMUKUVU UNAHITAJI WADAU KUSHIRIKIANA- KUSAYA

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiongoza kikao cha Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Udhibi,ti wa Sumukuvu kilichoshirikisha wizara za Kilimo,Mifugo,Viwanda,Tamisemi toka Tanzania Bara na Zanzibar leo mjni Morogoro.
Sehemu ya wajumbe wa kikao cha Kamati ya Kusimamia Mradi wa Kudhibiti Sumukuvu nchini kilichoanyika leo mkoani Morogoro.
Wataalam toka wizara na taasisi zinazohusika na udhibiti wa Sumukuvu nchini wakiwa kwenye kikao cha kamati ya usimamizi wa mradi wa kudhibiti...

 

11 years ago

Habarileo

Wadau waanza kupitia rasimu sera ya petroli

WADAU kutoka taasisi mbalimbali za serikali wameanza kupitia rasimu ya kwanza ya sera ya petroli katika kikao kazi kwenye Hoteli ya Millennium Sea Breeze mjini hapa.

 

10 years ago

Vijimambo

Wadau wajadili sera ya Taifa ya Mtangamano ya Afrika Mashariki

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. John Haule akifungua kikao cha wadau cha kujadili Sera ya Taifa ya Mtangamano wa Afrika Mashariki, katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam leo.Mkurugenzi Idara ya Mashariki ya Kati Balozi Simba yahaya akiwa pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Said Seif Mzee  wakifuatilia hotubaMkurugenzi wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje, Balozi Irene Kasyanju pamoja na Mkuu wa Kitengo cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani