Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IMF KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUIMARISHA SERA ZA KIUCHUMI



 Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kulia) akipeana mkono na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) nchini Tanzania, Bw. Jens Reinke, aliefika Ofisi za Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dodoma kujitambulisha.Mtakwimu Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBC), Dkt. Albina Chuwa (kulia) akieleza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

IMF:Tishio la kuzorota kiuchumi lapanda

Shirika la Fedha Duniani (IMF) limesema kuwa hatari ya kuzorota kwa uchumi duniani imeongezeka.

 

10 years ago

Mwananchi

IMF: Tanzania iboreshe sera za kukuza uchumi

Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limesema uchumi wa nchi zilizopo chini ya jangwa la sahara unazidi kuimarika kwa zaidi ya asilimia tano, huku likiitaka Tanzania kuboresha sera za kukuza uchumi kupitia miradi ya maendeleo.

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunataka sera za kutukomboa kiuchumi

KAMPENI za Uchaguzi Mkuu zimekwishakuanza.

Maggid Mjengwa

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania, Afrika Kusini kushirikiana kiuchumi

NCHI za Tanzania na Afrika Kusini zimedhamiria kuimarisha mahusiano ya kibiashara na uwekezaji kwa faida ya wananchi wa pande zote mbili. Juhudi za karibuni kuimarisha mahusiano hayo zilishuhudiwa wiki hii...

 

9 years ago

StarTV

Watafiti, wadau washauriwa kushirikiana utungaji wa sera

Watafiti nchini wamewashauri kushirikiana na watunga sera na wadau wa maendeleo wa sekta mbalimbali  kutambua umuhimu wa takwimu katika kutoa uamuzi na kutunga sheria zitakazolingana na takwimu husika.

Tanzania imeonekana kuwa na tatizo la kutotumia takwimu katika baadhi ya maeneo, hali inayosababisha  kuwepo kwa upungufu katika huduma za kijamii, hasa sekta ya elimu na Afya.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti na Sera (REPOA), Prof Samweli Wangwe, amesema kinachosababisha changamoto katika...

 

10 years ago

Michuzi

ALBINO WATAKIWA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA JESHI LA POLISI ILI KUIMARISHA USALAMA WAO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewashauri albino wanaoishi Jijini Dar es Salaam kuwa karibu sana na Jeshi hilo ili kurahisisha mawasiliano kati yao na Wakuu wa vituo vya Polisi vilivyo karibu na makazi yao au wanapofanyia usalama wao jijini Dar es Salaam.
Pamoja na kwamba haijawahi kutoa tukio lolote dhidi ya Albino jijini Dar es Salaam kutokana na uhusiano uliopo lakini kwa sasa waongeze mawasiliano na Jeshi la Polisi kutokana na taarifa za uhalifu dhidi ya Albino...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Fedha, IMF na WB wazungumzia sera fedha

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile ambaye ni  kiongozi wa ujumbe kutoka Tanzania na anawakilisha kama Gavana Mbadala (Alternate Governor) pamoja na Gavana wa Benki Kuu  Prof. Benno Ndulu  ambaye pia ni Gavana katika mikutano hii.Katika picha viongozi hao wakiwa wanafanya majumuisho ya majadiliano ya awali na kukubaliana cha kufanya kwa pamoja na viongozi kutoka IMF na WB kuhusiana na hali ya uchumi kwa maana ya sera za fedha na sera za mapato...

 

5 years ago

CCM Blog

NCHI WANACHAMA WA SADC KUIMARISHA SERA NA KUJENGA MIKAKATI YA PAMOJA YA KUKUZA AJIRA KWA VIJANA

 Na; Mwandishi WetuNchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimejizatiti kuimarisha Sera na kujenga mipango ya pamoja itakayowezesha kukuza ajira kwa vijana katika Ukanda huo.
Akifungua Mkutano wa Makatibu Wakuu, Maafisa Waandamizi na Wadau wa Utatu wa Jumuiya hiyo wanaosimamia Sekta ya Kazi na Ajira hii leo Machi 2, 2020 Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Bw. Andrew Massawe alisema kuwa Mkutano huo umewakutanisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani