Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali ya Tanzania na Korea ya Kusini zakubadilishana uzoefu katika masuala ya uwekezaji

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof. Adolf Mkenda akifungua kongamano kongamano la siku moja lililofanyika leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya uwekezaji kati ya Tanzania na Korea ya Kusini ili kubadilishana uzoefu na kushirikiana katika kuinua uchumi wa nchi zote mbili kwa kushirikisha sekta ya Umma na sekta binafsi katika kujiletea maendeleo endelevu.Baadhi ya wajummbe kutoka nchini Korea ya Kusini wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof. Adolf Mkenda (hayupo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania na Korea ya Kusini zabadilishana uzoefu katika kuimarisha uwekezaji

.01.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof. Adolf Mkenda akifungua kongamano kongamano la siku moja lililofanyika leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya uwekezaji kati ya Tanzania na Korea ya Kusini ili kubadilishana uzoefu na kushirikiana katika kuinua uchumi wa nchi zote mbili kwa kushirikisha sekta ya Umma na sekta binafsi katika kujiletea maendeleo endelevu.

02

Baadhi ya wajummbe kutoka nchini Korea ya Kusini wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof. Adolf Mkenda (hayupo...

 

11 years ago

Michuzi

mama pinda katika mkutano wa Dunia wa masuala ya Amani, Usalama na Maendeleo jijini Seoul, Korea Kusini.

 Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (wa tatu kushoto) akiwa na viongozi wakuu wakifuatilia mada kwenye mkutano wa siku moja ulioandaliwa na Shirikisho la Wanawake na Amani Duniani  (WFWP) kwenye ukumbi wa Jumba la Makumbusho la Kimkoo, jijini Seoul, Korea Kusini leo mchana (Agosti 11, 2014). Kutoka kushoto ni Balozi wa Uruguay nchini Korea, Alba Rosa Legnani, Mke wa Rais wa visiwa vya Marshall, Bibi Lieom Anono Loeak na wa kwanza kulia ni mke wa Rais wa zamani wa Uruguay, Bibi Mercedes...

 

10 years ago

Michuzi

UTT-AMIS YATOA WITO KWA WATANZANIA KUJITOKEZA KATIKA MASUALA YA UWEKEZAJI

WATANZANIA wametakiwa kujitokeza katika masuala ya uwekezaji kwani fursa hiyo wanayo kama ilivyo kwa baadhi ya watu kutoka nje. Hayo yalisemwa na Ofisa Habari Idara ya Masoko, Waziri Ramadhani, wakati wa maonesho ya kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika, yaliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi.Alisema hivyo kutokana na baadhi ya watu hapa nchini kudhani kuwa ili mtu awe muwekezaji ni lazima atoke nje ya nchi wakati sio kweli. “Nawaomba Watanzania wenzangu watambue kuwa wao pia ni...

 

5 years ago

Michuzi

WAUMINI WA KOREA KUSINI WACHANGIA KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA

 WAUMINI 4,000 waliopona corona (covid 19) nchini korea kusini wajitolea Kutoa utegili(plasma) yenye thamani ya trilioni 192 na bilioni 394 za kitanzania kwa ajili ya tiba ya corona.
Kanisa moja kutoka korea kusini linaloitwa Shincheonji church of Jesus lilisema Zaidi ya waumini wake 4,000 wameweza kupona corona(covid19) na wako tayari kujitolea utegili kwa ajili ya uvumbuzi wa matibabu mapya.
Kiasi cha damu kitachotolewa na waumini hao 4,000 kitakuwa na thamani ya shilingi trilioni 192 na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini: Je nini kilichosababisha kulipulia kwa afisi ya mawasiliano na Korea Kusini?

Experts' views on why North Korea has chosen to provoke the South by destroying the liaison office.

 

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini na Korea Kusini zafyatuliana risasi baada ya Kim Jong-un kuonekana hadharani

Korea Kusini imesema risasi zimefyatuliwa kwenye mpaka wao, siku moja baada ya Kiongozi wa Korea Kaskazini kuoneakana hadharana.

 

11 years ago

Michuzi

UNHWA YA KOREA KUSINI KUISAIDIA NIMR KATIKA UGUNDUZI WA DAWA KWA KUTUMIA MIMEA

 Na Father Kidevu Blog, Dar es Salaam Taasisi ya taifa ya utafiti wa magonjwa ya binadamu Tanzania (NIMR), imesaini mkataba wa ushirikiano na kampuni ya UNHWA ya Jamhuri ya Korea ambapo kampuni hiyo itaisaidia NIMR teknolojia mpya ya kufanya ugunduzi wa dawa za binadamu kwa kutumia mimea.
Makubaliano hayo yamesainiwa jijini Dar es salaam pembezoni mwa kongamano la 28 la kisayansi la NIMR, ambapo mkurugenzi mkuu wa taasisi hiyo Dk. Mwele Malecela amesema hatua hiyo ni muhimu katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania, Afrika Kusini kuimarisha mamlaka za uwekezaji

UHUSIANO wa kibiashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Afrika Kusini unazidi kuimarika baada ya nchi hizo kufikia makubaliano ya kuunda vikosi kazi katika nchi hizo ili kuimarisha mamlaka za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani