Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaahidi kuwatafuta wanafunzi

Juhudi za kuwaokoa zaidi ya wasichana 200 waliotekwa nyara na kundi la wanamgambo la Boko Haram, zimepewa kipaombele katika mkutano wa usalama unaoendelea nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RC Ole Sendeka awapa mwezi mmoja viongozi kuwatafuta wanafunzi 708

Na Amiri Kilagalila, Njombe

Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Olesendeka ametoa muda wa mwezi mmoja kwa watendaji,maafisa elimu kata pamoja na viongozi wa mitaa na vijiji kuhakikisha wanafunzi 708 ambao hawajajiunga na masomo ya kidato cha kwanza,vinginevyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Sendeka ameonyesha Kukasirishwa na kitendo cha wanafunzi hao 708 waliofaulu kidato cha kwanza na kushindwa kujiunga na masomo.

Ametoa agizo hilo katika kikao cha tathimini ya elimu...

 

5 years ago

Michuzi

Kampuni ya Zola yaahidi kutoa mitambo kwa wanafunzi

KAMPUNI ya kuzalisha bidhaa za umeme wa jua Zola imeahidi  kuwazawadia mitambo ya Zola  wanafunzi wa kidato cha nne watakaofaulu vizuri mwaka huu ili iwe chachu kwao ya kujisomea zaidi.
Ahadi hiyo ilitolewa jana Jijini Arushawakati wa uzinduzi wa ofisi ya Zola mkoani Arusha,Mkurugenzi wa Kampuni ya Zola Afrika Mashariki Yusuph Nassor alisema serikali ya sasa imejilota mumsaidia mtoto kielimu kwa kutoa elimu bure, hivyo na wao wanaunga mkono jitihada hizo.
Licha ya kusaidia sekta ya elimu...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaahidi kuwalipa makandarasi

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.WAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya amesema Serikali italipa madeni ya makandarasi na watumishi ambayo yamehakikiwa na pia itapeleka TAMISEMI orodha ya halmashauri ambazo zimetoa madeni hewa ili yalipwe.

 

10 years ago

Vijimambo

SERIKALI YAAHIDI KUIPIGA JEKI NACTE

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto)akimsikiliza kwa makini Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwela wakati alipokuwa akimfafanulia jambo alipokuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani lililopo makao makuu ya ofisi hiyo Mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwela ( aliyesimama) akifafanua jambo mgeni rasmi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yaahidi kuboresha miundombinu DIT

MAKAMU wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, amesema serikali itaendelea kuboresha miundombinu ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kutokana na taasisi hiyo kutoa mchnago muhimu kwa taifa. Mbali...

 

9 years ago

Habarileo

Serikali yaahidi kutomwonea mfanyabiashara yeyote

SERIKALI imesema haina nia ya kuonea wafanyabiashara, lakini ikaonya itachukua hatua kali za kisheria kwa mawakala wa forodha wasio waaminifu na watakaokiuka taratibu.

 

11 years ago

Michuzi

Serikali yaahidi ushirikiano na Viongozi wa Dini

Mwenyekiti wa maandalizi ya Kongamano la Viongozi wa Dini mikoa ya Lindi na Mtwara MohamedSenani akiwakaribisha wajumbe katika kongamano la viongozi hao katika ukumbi wa VETA mjini Mtwara. Kongamano ambalo viongozi hao walijadiliana juu ya rasilimali za gesi asilia, mafuta na madini kwa amani na maendeleo ya Tanzania. Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akizungumza na viongozi wa dini kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara wakati wa kongamano la viongozi hao lililohusu...

 

10 years ago

GPL

SERIKALI YAAHIDI KUIPIGA JEKI NACTE‏

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi   Dkt. Shukuru Kawambwa  (kushoto)akimsikiliza kwa makini  Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt.Primus Nkwela  wakati alipokuwa akimfafanulia jambo alipokuwa mgeni rasmi kwenye  hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani lililopo makao makuu ya ofisi hiyo Mikocheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katibu… ...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YAAHIDI KUONGEZEA MTAJI BENKI YA TADB



  SERIKALI imeahidi kuiongezea mtaji Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) kutokana na namna inavyowasaidia wakulima na kuwapa kipaumbele wawekezaji wazawa.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki leo wilayani Manyoni, Singida wakati alipofanya ziara ya kutembelea kiwanda cha kuchakata mbegu za Alizeti cha Qstek.

Akizungumza kiwandani hapo, Waziri Kairuki ameipongeza Benki ya Kilimo kwa namna ambavyo imekua ikiwainua wakulima na wawekezaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani