Serikali yafanyia majaribio ya umeme wa Kontena
Na Robert Kakwesi,
Tabora.
Katika kuhakikisha vijiji vingi zaidi nchini vinapata umeme, Serikali imeamua kufanya majaribio ya umeme wa kutumia Kontena ambao ni teknolojia mpya kuingia nchini.
Umeme huo wa Kontena unafanya vyanzo vya umeme nchini kuzidi kuongezeka na hivyo kuwa na matumaini ya vijiji zaidi kupata umeme na kuwa chanzo kimojawapo cha umeme vingine vikiwa ni Gesi, Makaa ya mawe, maji na upepo.
o que fazer viagra para homens
Katika ziara ya kukagua umeme vijijini...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo07 Jun
Serikali yafanyia kazi pensheni kwa wazee
SERIKALI imesema kuwa Mpango wa Pensheni kwa Wazee nchini, haujaanza kutekelezwa kutokana na kutokamilika kwa maandalizi.
10 years ago
Habarileo14 Jan
Muhongo akerwa na kutotumika kwa umeme wa kontena
WAZIRI wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amesikitishwa na mradi wa umeme wa Kontena kwenye kijiji cha Tura wilayani Uyui mkoani Tabora kuacha kufanya kazi baada ya kuwaka siku chache kwa kile kilichoelezwa kuwa kukosa maelewano ya wananchi na viongozi kutotunga sheria.
10 years ago
Habarileo22 Aug
Kituo cha umeme Kinyerezi 1 kuanza majaribio mwakani
KITUO cha kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia cha Kinyerezi 1, kinatarajia kuanza kuzalisha umeme wa majaribio mwanzoni mwa mwakani, baada ya kukamilika kwa ujenzi wa bomba la gesi linalotoa gesi hiyo Mtwara hadi Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo15 Mar
Serikali yakamata kontena la samaki wabovu
WIZARA ya Maendeleo ya Mifungo na Uvuvi imekamata katika Bandari ya Dar es Salaam kontena la samaki wabovu aina ya dagaa na migebuka tani 10 lenye thamani ya Sh milioni 100 likiwa mbioni kusafirishwa kwenda Australia.
10 years ago
Habarileo08 Jun
Serikali yaongeza mitambo ya kuzalisha umeme
KUTOKANA na kukua kwa kasi ya mahitaji ya umeme, Serikali imeamua kuongeza mitambo mingine ya kuzalisha umeme kwa kiasi cha megawati 185 katika Mradi wa Kinyerezi I uliopo jijini Dar es Salaam.
9 years ago
Mwananchi19 Sep
Serikali kushusha bei ya umeme Oktoba
11 years ago
Habarileo20 Jul
Serikali yavuka lengo usambazaji umeme
SERIKALI imekiomba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuipangia upya malengo ya kusambaza umeme kwa wananchi kwa sababu malengo yaliyopangwa katika Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa 2010 yamefikiwa na kupitwa hata kabla ya kumalizika kipindi cha miaka mitano.
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Serikali yashusha gharama za kuunganisha umeme vijijini