Serikali yagomea maombi ya Halmashauri Pwani
>Serikali mkoani Pwani imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa kwake ya Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo kuwa wilaya na Kibiti Rufiji kuwa mamlaka ya mji mdogo na kisha kuweka bayana kuwa haiwezi kuridhia kwa sasa maombi hayo pamoja na ugawaji baadhi ya kata na vijiji kutokana na waombaji kutofikia vigezo vya kisheria vinavyotakiwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-A8iRwq2GJoM/Xra7WmdvH9I/AAAAAAALpkA/eCcmM01uFS4xG1tps8KqHj5iewecSO1sACLcBGAsYHQ/s72-c/1-5-768x432.jpg)
RC PWANI ATOA SIKU SABA UONGOZI WA HALMASHAURI YA BAGAMOYO KUKAMILISHA HOJA 38 ZA CAG
![](https://1.bp.blogspot.com/-A8iRwq2GJoM/Xra7WmdvH9I/AAAAAAALpkA/eCcmM01uFS4xG1tps8KqHj5iewecSO1sACLcBGAsYHQ/s640/1-5-768x432.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza wakati wa kikao maalumu cha baraza la madiwani wa halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kilichoandaliwa kwa ajili ya kujadili majibu ya hoja za mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali CAG
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/2-5-1024x576.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akisoma kwa umakini ripoti ya hoja mbali mbali ambazo zimeandikwa katika kitabu maalumu na mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali wakati wa kikao hicho cha baraza la madiwani wa halmashauri ya Wilaya...
9 years ago
Habarileo10 Dec
TRA yagomea wamiliki wa makontena
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imewagomea kulipa kodi bila adhabu baadhi ya wamiliki wa makontena, ambayo yalitoroshwa kwenye bandari kavu bila kulipiwa kodi. Badala yake, TRA imewapelekea hati ya malipo inayowataka wafanyabiashara hao, kuhakikisha wanalipa kodi hiyo na adhabu ndani ya siku saba, la sivyo watafikishwa mahakamani kujibu tuhuma hizo.
10 years ago
Habarileo23 Jun
Mashirika ya ndege yagomea viwanja
MASHIRIKA ya ndege nchini, yamedaiwa kukataa kutumia viwanja vidogo vya ndege katika baadhi ya mikoa, kwa sababu ya hofu ya kutofanya biashara na miundombinu mibovu, hivyo kuvifanya viwanja hivyo kutotumika.
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
‘Serikali yazuia halmashauri’
SERIKALI kupitia wakala wake wa kununua na kuhifadhi mazao ya chakula nchini (SGR), imezitikisa halmashauri nne za Mkoa wa Rukwa baada ya kushindwa kuzilipa zaidi ya sh bilioni 2 za...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4OMy1MvT5X8/XoIAhYdHAJI/AAAAAAALlmc/5XRQOHAP2J84Oj4QhV3bwCSXPUh9i1a3wCLcBGAsYHQ/s72-c/Deci%252Bpic.jpg)
DPP AWASILISHA MAOMBI MAHAKAMA YA MAFISADI KUTAKA AKAUNTI MBILI ZENYE SHILINGI BILIONI 16.7 ZA UPATU ZIWE MALI YA SERIKALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-4OMy1MvT5X8/XoIAhYdHAJI/AAAAAAALlmc/5XRQOHAP2J84Oj4QhV3bwCSXPUh9i1a3wCLcBGAsYHQ/s400/Deci%252Bpic.jpg)
MKURUGENZI Mashtaka nchini (DPP) Biswalo Mganga amewasilisha maombi katika Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi ( Mahakama ya Mafisadi), ya kuomba kutaifishwa kwa akaunti mbili za USD na moja ya EURO zenye jumla ya Shilingi bilioni 16.7 za upatu kuwa mali ya Serikali kutokana na washtakiwa hao raia wa kigeni kutofika mahakamani
Washtakiwa hao ni raia wa Ujerumani Manon Huebenthal na raia wa Uingereza Frank Ricket ambapo...
10 years ago
Habarileo30 Oct
Kamati ya Bunge yagomea fedha za kununua ng’ombe
UPOTEVU wa ng’ombe kwenye ranchi za taifa umeilazimisha Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutoishauri Serikali kutoa fedha Sh bilioni 17 zilizoombwa na Kampuni ya Ranchi za Taifa (Narco) kwa ajili ya kuboresha miundombinu.
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
‘Viongozi halmashauri simamieni dawa za serikali’
VIONGOZI wa halmashauri nchini kwa kushirikiana na waganga wakuu wametakiwa kuhakikisha dawa na vifaa tiba vinavyotolewa na serikali kupitia Bohari Kuu ya Dawa (MSD) vinatumika kwa kazi iliyokusudiwa. Agizo hilo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZvshmacpThA/XvhEdw4u0aI/AAAAAAALvv0/06qDyOgZJUA1ddCktKjihekZSUOG-dwXgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-28%2Bat%2B10.16.01%2BAM.jpeg)
SERIKALI YA AWAMU YA TANO IMELETA MAENDELEO PWANI- MHANDISI NDIKILO
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amesema ndani ya miaka mitano chini ya serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli imepata maendeleo makubwa sana.
Ndikilo amesema, toka kupata kwa Uhuru mji wa Kisarawe haujawahi kupata maji safi na kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA wamefanikisha kukamilika kwa mradi huo.
Mradi wa maji wa Kisarawe umeuzindulia leo na Rais Dkt John Pombe Magufuli, tunafurahi...