Serikali yakalia trilioni 8.4/- za PSPF, NSSF, PPF
Mkurugenzi wa SSRA, Irene Isaka
Madeni sugu ya serikali yanatishia uhai wa mifuko ya hifadhi ya jamii nchini huku Mamlaka ya Usimamizi ya Mifuko hiyo ( SSRA) ikitoa angalizo kwa serikali kuhusiana na hali hiyo kufuatia kuidai Sh. trilioni 8.43.
Hali hiyo inaweza kukwamisha mifuko hiyo kuwalipa mafao wanachama wake, kujiendesha yenyewe na kuwekeza katika miradi mbali mbali.
Deni hilo linatokana na serikali na taasisi zake kukopa kwenye mifuko hiyo na kutopeleka michango ya wanachama.
Mkurugenzi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Feb
PSPF yalipa mafao ya trilioni 2.83/-
MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) umelipa Sh trilioni 2.83 za mafao kwa wanachama wake kuanzia mwaka 2004 hadi Desemba mwaka jana.
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF atembelea banda la PPF kujionea utendaji kazi wa PPF katika maonyesho ya Sabasaba
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Mfuko huo wakati alipotembelea Banda laa PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwl Nyerere.
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni...
11 years ago
GPLMKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA LA PPF KUJIONEA UTENDAJI KAZI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
10 years ago
Vijimambo30 Apr
Bajeti ya mwaka 2015/16 ni ya kula. Ni Shilingi trilioni 22.5, Za maendeleo trilioni 5 tu.
.jpg)
Serikali imetangaza sura ya bajeti ya mwaka 2015/16, ikiwa imejielekeza zaidi katika matumizi ya kawaida ya safari, posho za viongozi na matumizi mengine kuliko miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya Watanzani moja kwa moja.
Bajeti ya mwaka ujao inatarajiwa kuwa Sh. Trilioni 22.480, kwa matumizi ya kawaida na maendeleo.
Makadirio hayo ni ongezeko la asilimia 13.2 ya bajeti ya mwaka 2014/15 ambayo ilikuwa ni Sh. Trilioni 19.853.
Waziri wa Fedha, Saada Salum...
11 years ago
Mtanzania26 Aug
Wachina wa Magufuli waidai Serikali trilioni 1.3/-

Waziri John Magufuli
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WACHINA wa ‘samaki wa Magufuli’ walioachiwa huru wanadai meli na samaki zilizokuwamo, ambavyo vyote vina thamani ya Dola za Marekani 3,220,000.
Mbali na kutakiwa kulipa fedha hizo, pia inatakiwa kulipa Sh trilioni 1.3 ikiwa ni gharama zote, ikiwamo meli, samaki, mawakili na mabaharia wake.
Hayo yalisemwa Dar es Salaam jana na Wakili wa Wachina hao, Kapten Ibrahim Bendera na Wakili John Mapinduzi, walipokuwa wakizungumzia hatima ya madai...
11 years ago
Michuzi
BRN kuiongezea Serikali mapato mapya ya 3 trilioni

Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Ukusanyaji Fedha kutoka Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), Lawrence Mafuru alipohojiwa katika kipindi cha Makutano Show kinachorushwa na Radio Magic FM.
PDB ni kitengo kipya kilichoanzishwa chini ya Rais...
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Serikali yatenga trilioni 14/- ujenzi wa reli ya kisasa
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
SERIKALI imetenga Sh trilioni 14 kwa ajili ya kujenga reli mpya yenye urefu wa kilometa 2,561 ambayo itakuwa na kiwango cha kisasa cha ‘Standard Gauge’, ambao utakuwa mradi mkubwa kutekelezwa na Serikali.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, alisema reli hiyo mpya itakuwa tofauti na nyingine na yenye uwezo wa kimataifa kutokana na kuchukua mabehewa ya ghorofa, ambapo itaanzia Dar es Salaam hadi...
10 years ago
Vijimambo
SERIKALI YA MAREKANI YAZUIA TANZANIA MSAADA WA TRILIONI MOJA

Taarifa iliyotolewa jana na MCC ilieleza kuwa mkutano wa robo ya mwaka wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika hilo linalomilikiwa na serikali ya Marekani kwa ajili ya kutoa misaada kwa nchi zinazoendelea ulijadili pendekezo la mkataba mpya na serikali ya Tanzania wenye thamani ya dola za Kimarekani...
5 years ago
CCM Blog26 May
MJI WA SERIKALI DODOMA UTAKAPOKMILIKA UTAGHARIMU ZAIDI YA TRILIONI 10
Eneo: Jiji la Dodoma imetenga eneo la mji wa Serikali ambao upo katika Kata ya Ihumwa kilomita 17 kutoka katikati ya Mji. Eneo hili lina ukubwa wa Hekta 617.15 sawa na Ekari 1,542.88.Mipaka: Mji wa Serikali kwa upande wa mangaribi unapakana na kambi ya Jeshi ya Ihumwa, Kaskazini-Mashariki unapakana na kata ya Mtumba na upande wa Kusini unapakana na barabara kuu iendayo Dar es salaam.Mgawanyo: Mji wa Serikali umegawanyika katika maeneo tofauti kama ifuatavyo:-Wizara za Serikali, Ofisi za...