Serikali yatambulisha vitambaa vya vazi la taifa nchini!
Mkurugenziwa Idara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Hermas Mwansoko (kushoto) akisisitiza jambo. (Picha ya Maktaba yetu).
Na Rabi Hume
Serikali ya Tanzania kupitia kwa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imetambulisha vitambaa vitakavyotumika kushona nguo zitakazotumika kuwakilisha vazi la taifa.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenziwa Idara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Hermas Mwansoko wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziSampuli ya Vitambaa kwa ajili ya Vazi la Taifa
Vitambaa vya Kanga vilivyopendekezwa kwa ajili ya kutumika kama Vazi la Taifa.
Vitambaa aina ya Vitenge vilivyopendekezwa kwa ajili yaVazi la Taifa
Imetolewa na
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
9 years ago
StarTV12 Nov
 Serikali yawataka wananchi kujiamulia vazi la Taifa
Serikali yatoa uhuru kwa wananchi kujiamulia vazi la Taifa litakalowatambulisha watanzania baada ya mapendekezo ya wadau kuwa utumike mkabala wa kupata vitambaa vya vazi hilo.
Serikali imefikia hatua hiyo baada ya kutafakari kwa kina juu ya aina gani ya kitambaa, rangi na mshono wa vazi hilo na hatimaye kutoa wito kwa jamii yenyewe kujichagulia aina ya vazi la Taifa watakalopendezwa nalo.
Akitambulisha aina ya vitambaa vilivyopendekezwa kutumika kama vazi la Taifa Mkurugenzi wa Utamaduni...
5 years ago
BBCSwahili07 Apr
Virusi vya Corona: Makosa yanayofanywa na watu wanaovaa barakoa za vitambaa
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-yclT6JknvwY/VaZbn6qx8yI/AAAAAAAHp4Y/sLVKXfbbOTM/s72-c/002.KILIMANJARO.jpg)
TIMU YA WATU 39 WAPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA LENGO LA KUCHANGISHA FEDHA ZA KUSAIDIA KUNUNUA VITAMBAA MAALUMU VYA WASICHANA
![](http://3.bp.blogspot.com/-yclT6JknvwY/VaZbn6qx8yI/AAAAAAAHp4Y/sLVKXfbbOTM/s640/002.KILIMANJARO.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-IWlmRRC5vmI/VaZbntVI42I/AAAAAAAHp4U/hvQeZa4gDyU/s640/003.KILIMANJARO.jpg)
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Vazi litakalovaliwa na wengi ndilo la Taifa
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imezitaka jamii ziwe huru kubuni na kuanza kutumia vazi watakalochagua na mavazi yatakayoshika kasi, kupendwa na kuvaliwa na wengi yataweza kutambuliwa kuwa ndiyo vazi la utambulisho wa Mtanzania.
Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni, Profesa Hermas Mwansoko, alisema utambulisho wa kutumia vazi la Taifa ni jambo jema, japo utekelezaji wake ni mgumu kwa Taifa kama Tanzania lenye jamii ya makabila zaidi ya 120, pia
kuna tofauti ya hali ya hewa na mazingira,...
11 years ago
Dewji Blog09 May
Asia Idarous atikisa Dunia na Vazi la Taifa
Asia Idarous akiwa na vazi la Kitanzania.
.. NI BAADA YA SHOO YAKE NCHINI NIGERIA
Na Andrew Chale
MBUNIFU mkongwe wa mitindo nchini, Asia Idarous Khamsin kufuatia kufanya vizuri hivi karibuni katika onyesho kubwa la mavazi ya ubunifu lililokuwa maalum kwa ajili ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, lililofanyika Abuja, Nigeria, huku asilimia kubwa kwenye jukwaa hilo akitumia vazi lililonakshiwa alama za bendela ya Tanzania, ‘National colours Asia idarous’s...
10 years ago
Michuzi13 Nov
10 years ago
Habarileo22 Feb
Serikali yashutumu ukiukaji wa viapo vya uaminifu kwa taifa
SERIKALI imesema madai ya baadhi ya vijana waliohitimu katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kuruhusiwa kujiunga na vikundi vya majeshi ya nchi jirani yanayopigana ni kukosa uzalendo na uaminifu kwa taifa.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PBmwSaION7Q/VME5NKDfkJI/AAAAAAAG_Fc/Qg-jD3OLciY/s72-c/Evening%2BGown.jpg)
MREMBO WA TANZANIA KATIKA MASHINDANI YA DUNIA YA MISS UNIVERSE ANG’ARA NA VAZI LA TAIFA