Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yawapiga kufuli akina Lowassa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wanasiasa walioshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu hawaruhusiwi kuitisha mikutano ya hadhara kwa ajili ya kuwashukuru wananchi kwa kuwa wanaweza kuvuruga shughuli za maendeleo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yawapiga msasa madereva wanaosafirisha kemikali

1

Mkemia Mkuu wa Serikali Prof. Samweli Manyele akifungua mafunzo ya siku mbili kwa mdereva wa magari yanayosafirisha kemikali ndani na nje ya nchi, mafunzo yanayolenga kuwajengea uwezo wa usafirishaji salama wa kemikali za viwandani na Majumbani. Katikati ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara  Bw. George Kasinga  toka ofisi hiyo na wa mwisho kulia ni Meneja wa Kanda ya Mashariki Bw. Daniel Ndiyo.

Frank Mvungi-Maelezo

Serikali inaendelea kuimarisha mifumo yausafirishaji wa Kemikali ndani na...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yawapiga msasa viongozi wa elimu ngazi ya Mikoa

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO Serikali itaendelea kutoa mafunzo kwa watendaji wa Halmashauri na Mikoa juu ya usimamizi wa fedha, manunuzi na takwimu katika masuala ya elimu nchini ili kuwajengea uwezo viongozi hao katika masuala ya usimamizi wa fedha za Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari awamu ya pili (MMES II).  Kauli hiyo imetolewa mjini Bagamoyo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia wakati akifunga mafunzo ya viongozi wa...

 

10 years ago

Habarileo

‘Kufuli la Dhahabu’ laitesa Mahakama

IDARA ya Mahakama imeeleza kuwa inajipanga kuhakikisha inashirikiana na vyombo vya habari ili ipate Tuzo ya Ufunguo wa Dhahabu.

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AKUTANA NA KUFULI KILTEX

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimwaga saruji wakati wa kushiriki ujenzi wa barabara ya Olorieni kwa kiwango cha Lami ikiwa sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2010.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiendesha gari maalum la kuchonga barabara wakati wa ujenzi ya barabara ya Olorieni,Arusha mjini.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiingia kwenye kiwanda cha matairi cha Arusha kinachojulikana kama General Tyre.
 Kiwanda cha Matairi cha...

 

9 years ago

Mtanzania

Magufuli afunga kufuli TRA

Pg 1*Amsimamisha kazi Kamishna Mkuu Bade, amteua Mpango kukaimu

*Waziri Mkuu Majaliwa asimamisha watano, awakabidhi mikononi mwa polisi

 

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

RAIS John Magufuli amemsimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Rished Bade, kutokana na upotevu wa makontena 349 yenye thamani ya Sh bilioni 80 na kumteua Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Philip Mpango, kukaimu nafasi hiyo.

Sambamba na hatua hiyo, Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, amewasimamisha...

 

10 years ago

Mwananchi

Phiri amtia kufuli Mkude

Dar es Salaam. Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri amemshauri kiungo wake  chipukizi, Jonas Mkude asiondoke ndani ya timu hiyo kwa sasa na  kumwambia akienda Yanga amekwisha.

 

10 years ago

Michuzi

Kiwanda cha 21st Century chapigwa Kufuli

Na Victor Mariki – Ofisi ya Makamu wa Rais
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira, limetoa amri ya kfungwa shughuli za uzalishaji katika Kiwanda cha nguo cha 21st Century Limited kilichopo Kihonda Mkoani Morogoro leo ikiwa ni sehemu ya Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira.
Hatua hiyo imechukuliwa kufuatiwa na kupuuzwa kwa maelekezo na maagizo ya mazingira yaliyokuwa yakitolewa nyakati tofautit tofauti na Ofisi ya Makamu wa Rais, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ...

 

10 years ago

Michuzi

Mtaa wa Msimbazi Kariakoo, wapigwa kufuli kwa muda

Barabara ya Mtaa wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam, imefungwa kwa muda  ili kupisha ukarabati wa Barabara hiyo,ulioanza rasmi leo.ukarabati ushaanza kushika kasi katika Barabara ya Mtaa wa Msimbazi, Kariakoo.kibao cha kuonyesha kufungwa kwa Mtaa huo kuanzia Barabara ya Morogoro mpaka Mtaa wa Mafia.hivyo watumiaji wa njia hii mnapaswa kutafuta mbadala wake.mambo yameiva Msimbazi. 

 

10 years ago

Mwananchi

Membe: Bila kufuli la CCM pasingetosha urais 2015

Uamuzi wa Kamati Kuu ya CCM wa kuwadhibiti kwa mwaka mmoja makada wake sita waliobainika kukiuka kanuni kwa kuanza mapema kampeni za urais, unaweza kuwa uliwakera wengi, lakini si Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe, ambaye ni mmoja wa ‘waliofungwa kufuli’.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani