Serikali yawataka wasiohusika na zuio la mahakama kuondoka wenyewe
Serikali imetoa tamko la kuwataka wananchi kuondoka wenyewe katika maeneo yalianianishwa kubomolewa na kwamba zuio la mahakama kuu la ardhi halizuii mamlaka husika kuendelea na maeneo mengine yaliyoidhinishwa kuvunjwa
Tamko hilo linakuja ikiwa ni siku chache tu tangu Mahakama Kuu kitengo cha Ardhi kutoa Uamuzi wa kusitisha Zoezi hilo hadi hapo itakapoamuliwa ,jambo ambalo limeonekana kutafsiri vibaya kwamba uamuzi unahusu maeneo yote.
Kesi ya zuio ilifunguliwa kwa hati ya dharula na Mbunge...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-iDjZwI-MpGY/VNIXWqwaXlI/AAAAAAAAnx8/e5gfTbkVQyc/s72-c/5-300x2.jpg)
Mwanasheria Mkuu Asema Serikali Haina Dini Mahakama ya Kadhi itahudumiwa na Waislam wenyewe
![](http://1.bp.blogspot.com/-iDjZwI-MpGY/VNIXWqwaXlI/AAAAAAAAnx8/e5gfTbkVQyc/s640/5-300x2.jpg)
Mungu ibarikiTanzania.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/RM1xNvXZePg/default.jpg)
5 years ago
BBCSwahili22 Apr
Virusi vya Corona: Serikali yawataka Watanzania kuiamini serikali na kuchukua tahadhari
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-dKfI1FkFCRw/Xn4nRNP6kfI/AAAAAAALlVI/e6baoVGoscsPUN9fpfK5vVyJk1Cu0yFRACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200327_120911_3.jpg)
MAHAKAMA IRINGA YAONDOA ZUIO LA KUPINGA MCHAKATO WA MADIWANI KUMNG'OA MEYA ALEX KIMBE NAFASI YAKE KWA TUHUMA MBALIMBALI
MAHAKAMA ya hakimu mkazi Iringa imeondoa mahakamani hapo shauri dogo namba 5 la mwaka 2020 lililofikishwa katika mahakama hiyo na mstahiki meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA ) Alex Kimbe ya kupinga mchakato wa madiwani wa chama cha mapinduzi (CCM) kutoka kumung'oa katika nafasi yake ya umeya kwa tuhuma mbali mbali zikiwemo za matumizi mabaya ya madaraka.
Akisoma hukumu ya kesi hiyo...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-e4_fWLUZpUg/VDPpOs8_DvI/AAAAAAAGogU/jMevLXPT4Zg/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-10-07%2Bat%2B4.22.00%2BPM.png)
Serikali yaondoa zuio la Mikutano ya Vyama vya Siasa Lindi na Mtwara
![](http://3.bp.blogspot.com/-e4_fWLUZpUg/VDPpOs8_DvI/AAAAAAAGogU/jMevLXPT4Zg/s1600/Screen%2BShot%2B2014-10-07%2Bat%2B4.22.00%2BPM.png)
Zuio hilo limeondolewa leo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mathias Chikawe.Mikutano hiyo ilizuiliwa kutokana na vurugu za wananchi waliokuwa wakipinga ujenzi wa mradi wa bomba la gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam hali iliyosababisha kuvunjika kwa amani na utulivu katika mikoa hiyo.
Katika vurugu hizo, watu kadhaa...
5 years ago
MichuziWABUNGE WAUNGA MKONO ZUIO LA SERIKALI UAGIZAJI VIFAA VYA UMEME NJE YA NCHI
Veronica Simba – Dar es Salaam
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema inaendelea kuunga mkono zuio la serikali kwa wakandarasi wa miradi mbalimbali ya umeme nchini kuagiza vifaa husika nje ya nchi.Akizungumza jijini Dar es Salaam, Machi 14 mwaka huu, baada ya Kamati hiyo kufanya ziara katika viwanda vya Europe Inc. Industries Ltd (Tropical) na Kilimanjaro Cables (T) Ltd (Africab), vinavyozalisha nyaya za umeme na mashine umba (transfoma), Mwenyekiti wa Kamati husika, Dunstan...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-csSzHCPURUM/U9D5dhDAr7I/AAAAAAAF5tg/YSuap_UhDgo/s72-c/PIX+1.jpg)
SERIKALI YAWATAKA WANANCHI KUWA MAKINI NA MATAPELI
![](http://2.bp.blogspot.com/-csSzHCPURUM/U9D5dhDAr7I/AAAAAAAF5tg/YSuap_UhDgo/s1600/PIX+1.jpg)
Serikali imewataka wananchi kujihadhari na wizi ambao hufanywa na Taasisi za Fedha hewa ambazo zimekuwa zikidai kutoa mikopo kwa njia ya simu.
Tahadhari hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Assah Mwambene wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam.
Amesema kuwa Taasisi hizo zimekuwa zikitumia mitandao ya simu za mkononi kutapeli wananchi kwa kuwaraghai kuwa watawapatia mikopo.
Mwambene ameongeza kuwa...
9 years ago
MichuziSERIKALI YAWATAKA MADEREVA WA BRT KUZINGATIA MAFUNZO
9 years ago
StarTV12 Nov
 Serikali yawataka wananchi kujiamulia vazi la Taifa
Serikali yatoa uhuru kwa wananchi kujiamulia vazi la Taifa litakalowatambulisha watanzania baada ya mapendekezo ya wadau kuwa utumike mkabala wa kupata vitambaa vya vazi hilo.
Serikali imefikia hatua hiyo baada ya kutafakari kwa kina juu ya aina gani ya kitambaa, rangi na mshono wa vazi hilo na hatimaye kutoa wito kwa jamii yenyewe kujichagulia aina ya vazi la Taifa watakalopendezwa nalo.
Akitambulisha aina ya vitambaa vilivyopendekezwa kutumika kama vazi la Taifa Mkurugenzi wa Utamaduni...