Shamba la mifugo Mabuki na changamoto zake
SHAMBA la uzalishaji wa mifugo Mabuki lililopo mkoani Mwanza lina hekta 9,793 na ng’ombe 2,479; nyati maji 65; mbuzi wa maziwa 156 na mbuzi chotara wa nyama 48. Hivi karibuni...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA UVUVI NA MIFUGO ULEGA AFUNGUA SHAMBA LA MAFUNZO NA UFUGAJI WA SAMAKI 'BIG FISH FARM' JIJINI DAR
10 years ago
Mwananchi11 Feb
Mfumo wa BVR na changamoto zake
BVR ni mfumo wa uandikishaji wapigakura ambao unakusanya taarifa muhimu zote za mtu na kuweza kuziainisha tofauti na taarifa za mtu mwingine
10 years ago
Mwananchi22 Nov
Muziki wa kitanzania na changamoto zake (1)
>Licha ya kufariki miongo kadhaa iliyopita, wanamuziki kama Marijani Rajab, Mbaraka Mwishehe, Juma Kilaza, Muhidin Maalim Gurumo na wengine wengi, kazi zao bado zinaendelea kuishi.
10 years ago
Mwananchi29 Nov
Muziki wa Tanzania na changamoto zake (2)
Licha ya kuwepo kwa wanamuziki wenye vipaji, muziki wenye asili ya Kitanzania umeonekana kupotea kwenye anga la tasnia hiyo ndani na nje ya Tanzania. Pamoja na wadau kadhaa kupingana na nadharia hiyo lakini kimtazamo ndiyo ukweli halisi. Endelea…
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Umuhimu wa simu za mkononi na changamoto zake
KUTOKANA na kuwepo kwa vitendo vya uhalifu kupitia mitandao, wananchi wanapaswa kutoteleza masuala mbalimbali kupitia ujumbe mfupi wa maandishi (sms) kabla ya kuzungumza na mhusika,” anasema Naibu Mkurugenzi, Masuala ya...
11 years ago
Vijimambo05 Oct
Elimu ya awali Tunduru na changamoto zake

WADAU wa elimu nchini Tanzania wanaamini kwa kiasi kikubwa kwamba endapo elimu ya awali (chekechea) nchini Tanzania itatolewa katika misingi inayostahiki itakuwa ni njia moja wapo madhubuti ya kuimarisha ubora wa elimu. Hii ndiyo maana wanaendelea kupaza sauti wakiitaka serikali kupitia vyombo husika kuboresha kwanza elimu ya awali kabla...
10 years ago
Vijimambo16 Dec
SHAMBA LA MWANADIASPORA MZEE TEMBA LAUZWA HUKU YEYE AKIWA NA HAKI ZOTE ZA KULIMILIKI SHAMBA HILO
Diaspora tunachangamoto nyingi zinazo tukabili ukiachia mbali swala la uraia pacha ambalo sasa tumewekwa kama raia wa kigeni kwenye nchi yako ya kuzaliwa na kinachoangaliwa zaidi ni kitu gani umeifanyia nchi yako japo ughaibuni umekuja kutafuta sawa na Mtanzania yeyote aliyetoka mkoani na kuelekea Dar es Salaam kwa lengo lilelile analofanya mwanaDiaspora anapokuja ughaibuni.
Tukiachana na hiyo stori ya uraia pacha ninataka kukujuzeni kuhusu hii stori ya shamba ya mwanaDiaspora mwenzetu Mzee...
Tukiachana na hiyo stori ya uraia pacha ninataka kukujuzeni kuhusu hii stori ya shamba ya mwanaDiaspora mwenzetu Mzee...
11 years ago
Michuzi.jpg)
DK SHEIN ASHIRIKI UZINDUZI WA MPANGO WA MABADILIKO YA TABIA NCHI NA CHANGAMOTO ZAKE MAGHARIBI YA BAHARI YA HINDI
.jpg)
.jpg)
9 years ago
MichuziWAZIRI KITWANGA AANZA ZIARA ZAKE KWA KUTEMBELEA JESHI LA POLISI, AWATAKA MAKAMANDA NA ASKARI KUPAMBANA NA CHANGAMOTO
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-May-2025 in Tanzania