Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shambulio la Christchurch: ‘Sitawahi kuwasamehe waliomshambulia binti yangu’

Watu 51 waliuawa baada ya watu waliokuwa wamejihami kwa bunduki kumiminia risasi misikiti ya Al Noor na Linwood nchini Newzealand.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WALIOMSHAMBULIA BINTI MWENYE UMRI WA MIAKA 12 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR

Na Karama Kenyunko, Michuzi TV

WANAWAKE watatu akiwemo mama mlezi wa binti mwenye umri wa  miaka 12, Scholastica Charles (34) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kumfanyia ukatili binti yake (jina limehifadhiwa) na kumsababishia maumivu makali.

Mbali na Scholastica, washtakiwa  wengine ni Salma Hamisi (25) na Happy Joshua (44), ambapo wote  ni wafanyabiashara wanaoishi Kitunda jijini Dar es Salaam.

Akisoma hati ya mashtaka leo,  Wakili wa Serikali...

 

11 years ago

BBCSwahili

Waliomshambulia Malala wakamatwa

Jeshi nchini Pakista limewakamata watu 10 wanaoshukiwa kupanga shambulio dhidi ya mwanaharakati Malala Yusufzai.

 

5 years ago

BBCSwahili

Freeman Mbowe: Marekani yaitaka Serikali ya Tanzania kuwakamata waliomshambulia

Marekani imetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuanzisha uchunguzi na hatimaye kukamatwa kwa wale wote waliohusika na shambulio la kiongozi wa upinzani nchini humo Freeman Mbowe.

 

9 years ago

BBCSwahili

9 Wakamatwa shambulio la Lebanon

Idara za Usalama nchini Lebanon zimefanikiwa kuwashikilia watu tisa wanaodhaniwa kuhusika katika shambuilio la Lebanon na kuua zaidi ya watu 40.

 

10 years ago

BBCSwahili

UN:Shambulio la Burundi lichunguzwe

Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-moon ametaka uchunguzi wa kina ufanywe kwa shambulio lililofanywa dhidi ya mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Burundi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shambulio latibuka Kenya

Maafisa wa usalama Kenya wamekabiliana na watu waliojihami na vilipuzi waliojaribu kuyalipua mabasi kwa guruneti huko Lamu

 

11 years ago

BBCSwahili

Shambulio dhidi ya Al Shabaab

Somalia inasema kuna uwezekano wa shambulio dhidi ya wapiganaji wa kiislamu Al Shabaab, wanayoidhibiti sehemu kubwa ya nchi hiyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Obama: Hatutayumbishwa na shambulio

Rais Barack Obama amesema Marekani haitayumbishwa na shambulio la Jumatano katika mji wa San Bernardino, California.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani