Shangazi achoma viganja watoto
WATOTO wawili wenye umri wa miaka minne na mitano, wakazi wa wilaya ya Ukerewe, Mwanza wanauguza majeraha ya mikono yao baada ya shangazi yao kuwachoma moto akiwatuhumu kuiba kitoweo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi31 May
Hili naliwekaje shangazi?
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 30. Tatizo langu ni kwamba, ninampenda binti mmoja lakini nilipomwambia akanitolea nje. Wakati huo huo kuna mwingine ambaye mimi simtaki, ananiganda. Nifanyeje shangazi?
10 years ago
Mwananchi30 Aug
Shangazi ninusuru na ugonjwa huu
Mimi ni mwanamke, mama wa watoto wawili. Nina umri wa miaka 30. Tatizo langu ni kwamba, nimekuwa nikisumbuliwa na msongo wa mawazo kiasi cha kukosa amani.Â
11 years ago
GPLBABA ACHOMA MOTO MWANAE
Stori: Francis godwin, Iringa
HUU ni ukatili uliopitiliza! Wakati wanaharakati mbalimbali nchini wakiwemo wa Mtandao wa Kijinsia Tanzania (TGNP) wakipinga vikali vitendo vya ukatili, baba wa kufikia, Musa Mdetela, mkazi wa mjini hapa anasakwa na polisi kwa kosa la kuwachoma moto miguuni wanaye wa kambo. Mdetela anadaiwa kuwafanyia unyama huo watoto hao, Baraka anayesoma darasa la kwanza na Mudi wa darasa la sita ...
10 years ago
Mwananchi14 Dec
Mganga achoma moto wateja
Mganga wa tiba za asili, Omari Kikukwa (32) mkazi wa Kijiji cha Bondo , Kata ya Mswaki wilayani hapa anashikiliwa na polisi kwa kuwachoma moto wateja wake na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
11 years ago
GPLDENTI AFUNGWA MNYORORO NA SHANGAZI YAKE
Na Joseph Ngilisho, Arusha KATIKA hali ya kushangaza, mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Dorah Joseph (34) anashikiliwa na jeshi la polisi baada ya kutuhumiwa kumfunga mnyororo mtoto wa kaka yake aitwaye Happy Joseph (13) na kumtelekeza bila kumpatia huduma muhimu, ikiwemo chakula. Kwa mujibu wa majirani na mashuhuda, kisa cha mwanamke huyo kufanya kitendo hicho cha kikatili, ni katika harakati zake za kutaka kumtumia mtoto...
11 years ago
Habarileo11 May
Aua wazazi wake, achoma nyumba
SIMANZI kubwa imetanda katika Kijiji cha Roo, Kata ya Masama Mashariki wilayani Hai, Kilimanjaro, baada ya kijana mwenye umri wa miaka 32 kuwaua wazazi wake wawili kwa kutumia panga na shoka, kisha kuchoma moto nyumba yao.
11 years ago
GPLMKE ACHOMA NYUMBA KISA WIVU WA MAPENZI
Stori:DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO KATIKA hali ya kusikitisha, mwanamke mmoja mwenye ujauzito wa miezi 7 sasa, Vaileth Kibwana, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mjini hapa baada ya mwishoni mwa wiki iliyopita kuiteketeza nyumba yao kwa moto, katika kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi baina yake na mumewe. Mume wa mwanamke Vaileth Kibwana, anyeshikiliwa na jeshi la polisi kwa kuchoma moto nyumba yao na kuteketeza mali...
9 years ago
VijimamboMWANAFAMILIA ACHOMA MOTO NYUMBA YAO PEMBA
Nyumba ya familia, inayokaliwa na bibi Siajabu Adam Ali wa kijiji cha Minazini shehia ya Tibirinzi wilaya ya Chake chake Pemba, ambayo ilidaiwa kuchomwa na mdogo wake, Zahara Hamza Adam kutokana na ugomvi wao wa muda mrefu, nyumba hiyo iliteketea kila kitu, (Picha na Haji Nassor, Pemba).Sehemu ya ndani ya nyumba ya familia, inayokaliwa na bibi Siajabu Adam Ali na watoto wake wawili, kijiji cha Minazini shehia ya Tibirinzi wilaya ya Chake chake Pemba, ambayo ilidaiwa kuchomwa na mdogo wake...
9 years ago
GPLUKATILI ULIOJE! SHANGAZI AMCHOMA MIKONO MTOTO WAKE
Niukatili ulioje ambao amefanyiwa mtoto Dorine (12), denti wa darasa la nne Shule ya Msingi Makabe, Mbezi jijini Dar.Dorine anadaiwa kuunguzwa na maji ya moto yaliyochemshwa kwenye jiko la gesi na walezi wake wa karibu akiwemo shangazi yake aliyetajwa kwa jina moja la Scola ambaye alitiwa mbaroni na bibi yake ambaye haikujikana alipo. Â Dorine akiwa hospitali baada ya kuchomwa mikono na shangazi yake. Katika tukio hilo la...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania