Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Shida ya Muungano mapato, inarekebishika’

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba na Mbunge wa Tandahimba, Juma Njwayo amesema Muungano ni mzuri, licha ya kuwa na changamoto mbalimbali, lakini maeneo yanayoonekana shida ni masuala ya mapato jambo ambalo Katiba inaweza kutoa ufumbuzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mapato ya Muungano Zanzibar hadharani

FEDHA zinazopelekwa Zanzibar kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali za kibajeti, kiuchumi na kijamii, zimewekwa wazi ambapo miongoni mwake zipo zinazotokana na Malipo ya Kodi ya Mishahara (Paye).

 

11 years ago

Mwananchi

KUTOKA ZANZIBAR: Yako wapi mapato ya Zanzibar katika Muungano?

>Tumesikia matamshi ya mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia CCM, Ally Mohammed Keissy alipochangia bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akisema Zanzibar haichangii katika Muungano, hivyo haina haki ya kuhoji mambo ya upande wa pili.

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali za Mitaa zaongeza mapato kupitia mfumo wa ukusanyaji Mapato kwa njia ya Kielektroniki

01

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Bi. Rebecca Kwandu akifurahia jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam wakati akiwaeleza mafanikio ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki katika mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya TEHAMA wa ofisi hiyo Bw. Mtani Yangwe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.

02

 Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanganyika kuwamo ndani ya Katiba ya Muungano bila Zanzibar ni kuua Muungano

Leo nijikite katika kuongeza uelewa juu ya tofauti iliyopo kati ya mambo ya muungano na yasiyo ya muungano. Nchi yetu inatokana na muungano wa zilizokuwa nchi mbili huru kwa maana ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ambazo ziliwezesha kuundwa kwa nchi mpya, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

Mwananchi

Wiki ya shida

Ni wiki ya shida. Wiki hii inatarajiwa kuwa ya vikao mfululizo na mijadala isiyokoma. Ndiyo wiki inayotarajiwa kuuweka hadharani mtikisiko wa tano katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete wakati ripoti ya uchunguzi wa sakata la IPTL itakapowasilishwa rasmi kwa wabunge na Taifa kwa jumla mjini Dodoma keshokutwa na kuhitimisha minong’ono na uvumi.

 

9 years ago

StarTV

Ni shida Man U ya Ua

Mashetani wekundu, Manchester United wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Club Brugge ya Ubelgiji katika mechi ya kwanza ya raundi ya mwisho ya mchujo wa Uefa Champions League iliyopigwa usiku huu uwanja wa Old Trafford.

Mapema dakika ya 8′, kiungo wa Man United, Michael Carrick alijifunga na kuwapa goli la bure Brugge, lakini nyota mpya Memphis Depay alifuta bao hilo dakika ya 13′.
Dakika ya 43′, Depay akarudi tena kambani akiandika goli la ushindi kwa kikosi cha Louis van Gaal.
Dakika ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwaka wa shida

>Hali ya jiji la Dar es Salaam jana ilizidi kuwa mbaya kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kuwaweka wakazi kwenye hali ngumu zaidi baada ya kukumbwa na matukio mengine makubwa yaliyoathiri jiji na sehemu nyingine kote nchini tangu kuanza kwa mwaka.

 

10 years ago

Vijimambo

POLISI TANZANIA NI SHIDA


Aki hawa police wanatumia operating system mpya inaitwa kusanya pesa, yaani hawaongei ni kuandika tu..BTW kila polisi ana kitabu..mwaka huu mpaka ifike october kila mtu ataelewa....good morning Tanzania.

 

10 years ago

Vijimambo

SUPER BOWL NI SHIDA



Jamaa ilibidi aingie na tv chooni kwani akupenda kupitwa japo kidogo na uhondo Chezea super bowl wewe .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani