Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


POLISI TANZANIA NI SHIDA


Aki hawa police wanatumia operating system mpya inaitwa kusanya pesa, yaani hawaongei ni kuandika tu..BTW kila polisi ana kitabu..mwaka huu mpaka ifike october kila mtu ataelewa....good morning Tanzania.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Polisi wa Brazil hawana shida na mtu

Polisi wa Brazil hawana shida na mtu. Karibu kila kona unayopita kuna polisi. Lakini hawana shida na mtu mpaka ulete tatizo. Binafsi nawaona vivutio sana. Wanakufanya ujisikie uko salama kwa saa 24.

 

10 years ago

GPL

HII NI SHIDA: IJUMAA LAIFUNGIA KAZI PICHA YA POLISI WALIONASWA WAKIFANYA UCHAFU

Stori: Mwandishi Wetu
Ni shida! Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, chini ya Kamanda Mohammed Mpinga, limekuwa mstari wa mbele katika kusimamia maadili ya askari wake na kuwa mfano wa kuigwa lakini kuna baadhi wanalichafua, Ijumaa limenyetishiwa kamchezo kamili. Polisi wa usalama barabarani wakidendeka. HABARI KAMILI
Habari kamili ikufikie kwamba nyuma ya picha ya askari wawili, mwanamke na mwanaume wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAFURIKO HAYA YA LOWASA YAKIAMISHIWA KWENYE MITO YETU TANZANIA HAKUTAKUWA NA SHIDA YA UMEME TENA

Ni asubuhi tulivu kabisa ya Jumatatu tarehe 10/8/2015.Ni siku ya kihistoria katika Taifa letu.Hii ni kwa sababu Kamanda mpambanaji na asiyechoka mzee wa Maamuzi magumu Edward Ngoyai Lowassa akiwa na mgombea mwenza Juma Duni Haji watachukua rasmi fomu za kugombea Urais kupitia UKAWA katika ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi.

Timu ya wanahabari wa JF tayari iko hapa buguruni katika ofisi kuu za CUF ili kuwaletea kila kitakachojiri.Tunatarajia maanadamano haya makubwa yataanza saa 3 asubuhi hapa...

 

10 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA ATEMBELEA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA ‘SABASABA, AZURU KATIKA BANDA LA MAHAKAMA YA TANZANIA, POLISI, MAGEREZA NA MENGINEYO

 Mhe. Mohamed Chande Othman, Jaji Mkuu wa Tanzania, akisalimiana na Bi. Jackline Maleko, Mkurugenzi Mtendaji wa TANTRADE  alipowasili viwanjani hapo kutembelea Maonesho ya 39 ya Biashara ya kimataifa mapema. Mahakama ya Tanzania inashiriki katika Maonesho ya Sabasaba lengo likiwa ni kutoa elimu kwa wananchi juu ya taratibu na huduma mbalimbali zinazotolewa. Katika Banda la Mahakama kuna uwakilishi wa Mahakama za Mwanzo, Wilaya, Mkoa/Hakimu Mkazi, Mahakama Kuu, Mahakama ya Rufani, Tume ya...

 

9 years ago

StarTV

Ni shida Man U ya Ua

Mashetani wekundu, Manchester United wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Club Brugge ya Ubelgiji katika mechi ya kwanza ya raundi ya mwisho ya mchujo wa Uefa Champions League iliyopigwa usiku huu uwanja wa Old Trafford.

Mapema dakika ya 8′, kiungo wa Man United, Michael Carrick alijifunga na kuwapa goli la bure Brugge, lakini nyota mpya Memphis Depay alifuta bao hilo dakika ya 13′.
Dakika ya 43′, Depay akarudi tena kambani akiandika goli la ushindi kwa kikosi cha Louis van Gaal.
Dakika ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Wiki ya shida

Ni wiki ya shida. Wiki hii inatarajiwa kuwa ya vikao mfululizo na mijadala isiyokoma. Ndiyo wiki inayotarajiwa kuuweka hadharani mtikisiko wa tano katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete wakati ripoti ya uchunguzi wa sakata la IPTL itakapowasilishwa rasmi kwa wabunge na Taifa kwa jumla mjini Dodoma keshokutwa na kuhitimisha minong’ono na uvumi.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwaka wa shida

>Hali ya jiji la Dar es Salaam jana ilizidi kuwa mbaya kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha na kuwaweka wakazi kwenye hali ngumu zaidi baada ya kukumbwa na matukio mengine makubwa yaliyoathiri jiji na sehemu nyingine kote nchini tangu kuanza kwa mwaka.

 

9 years ago

Habarileo

Ndoa za Watanzania ni shida!

UTAFITI wa aina yake kuhusu unyanyasaji wa kijinsia, uliohoji wanawake hasa wanandoa, umebaini taasisi hiyo muhimu katika jamii, inakabiliwa na migogoro inayochangiwa zaidi na wivu wa waume, huku wanaume wa Morogoro wakiongoza nchini kwa kuonea wivu wake zao.

 

11 years ago

Mwananchi

Unene, shida na matibabu

Unene(obesity), ni ugonjwa unaokua kwa kasi kipindi hiki ukiambatana na madhara makubwa kiafya hata vifo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani