Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHILOLE AFANYA ‘UTUNDU’ STEJINI

Chande Abdallah
STAA wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Zuwena Mohamed 'Shilole' juzikati aliwatega vidume baada ya kufanya utundu wa aina yake kwa kuwaita jukwaani na kucheza nao wakati akipafomu kwenye shoo maalum ya Pasaka iliyodhaminiwa na Vodacom mwishoni mwa wiki. Mwanadada Shilole 'Shishi Baby' akionyesha mbwembwe zake stejini na mmoja wa mashabiki wake. Tukio hilo lilinaswa sawia na paparazi wetu maeneo ya Coco Beach...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini

Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha  wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.

Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...

 

10 years ago

GPL

KANYE WEST AFANYA KWELI TAMASHA LA GLASTONBURY, AVAMIWA NA NJEMBA STEJINI

Kanye West akiwapagawisha mashabiki waliohudhuria Tamasha la Glastonbury nchini England jana usiku. Komediani wa Uingereza, Lee Nelson baada ya kupanda stejini kumpa sapoti Kanye West. RAPPA wa nchini Marekani, Kanye West amefanya kweli kwa kuangusha bonge la shoo katika Tamasha la Glastonbury nchini England jana usiku.…

 

10 years ago

GPL

SHILOLE AFANYA BONGE LA PATI

Keki maalumu kwa ajili ya Shilole. Shilole akijiandaa kukata keki pembeni ni Steve Nyerere.…

 

9 years ago

Global Publishers

Shilole afanya pati ya aibu!

AMA kweli mapenzi yana sarakasi! Ndiyo kauli inayoweza kukuponyoka kufuatia tukio la staa anayebeba dhamana mbili katika sanaa ya Bongo, akitambulika kwenye uigizaji na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ambaye ameangusha bonge la pati ya aibu iliyojaa minong’ono kuwa ni sehemu ya furaha yake isiyo kifani ya kuachana na aliyekuwa mwandani wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, Amani lina kila kitu.

TUJIUNGE NYUMBANI KWA SHILOLE
Tukio hilo la aina yake lililohudhuriwa na baadhi ya mastaa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Buhari awataka raia Nigeria waache utundu

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amewahimiza raia wa nchi hiyo waache “tabia ya utundu” ndipo taifa hilo liweze kustawi.

 

10 years ago

Bongo Movies

Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole

Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.

‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...

 

10 years ago

Mtanzania

Snura akwepa ‘viroba’ stejini

snura1NA RHOBI CHACHA

KATIKA hali isiyo ya kawaida msanii wa filamu na muziki, Snura Mushi, alijikuta akirushiwa pombe zilizokuwa katika vifuko vidogo maarufu viroba akiwa jukwaani kama njia ya kumshangilia kwa uchezaji wake.

Snura alipanda jukwaani na kuimba wimbo wake ulioshika chati nchini wa ‘Nimevurugwa’ katika onyesho la miaka 16 ya msanii Juma Nature lililofanyika katika ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala jijini.

Snura akiwa jukwaani, shabiki mmoja alimfuata na kumtunza kiroba kisha idadi...

 

10 years ago

GPL

PROFESA JAY AKIFANYA YAKE STEJINI

Mkongwe wa Hip hop nchini, Joseph Haule 'Profesa Jay' akifanya makamuzi ya hatari ndani ya Leaders Club.…

 

11 years ago

GPL

MKALI WA BODABODA ALETWA STEJINI KAMA MAREHEMU

DJ Hemed Kavu 'HK' akiwaongea na mashabiki kabla ya kuwakaribisha vijana wake kutoa burudani. Msanii anayetamba kwa wimbo wa Bodaboda akiwapa raha mashabiki.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani