Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKALI WA BODABODA ALETWA STEJINI KAMA MAREHEMU

DJ Hemed Kavu 'HK' akiwaongea na mashabiki kabla ya kuwakaribisha vijana wake kutoa burudani. Msanii anayetamba kwa wimbo wa Bodaboda akiwapa raha mashabiki.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Madereva mabasi kama wa bodaboda

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, akitoa takwimu za vifo vilivyotokana na ajali za barabarani kati ya Januari Mosi mwaka huu hadi Aprili 12, sawa na siku 102 vifo 969.WAKATI ajali za barabarani zikiendelea kumaliza nguvu kazi ya Taifa na kuumiza vichwa vya Watanzania kuhusu suluhisho la ajali hizo, imefahamika moja ya tatizo sugu ni kukosekana kwa madereva wenye taaluma stahiki, ingawa wana leseni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Majeruhi wa ujambazi Newala aletwa MNH

ASKARI Polisi aliyejeruhiwa kwenye tukio la ujambazi wilayani Newala alisafirishwa jana kwa ndege ya polisi akipelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa matibabu zaidi. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda...

 

10 years ago

Vijimambo

RATIBA YA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU MHE. CAPT. JOHN KOMBA ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:

Marehemu Kapteni Komba enzi za Uhai wake.

Kesho tarehe 02/3/2015 saa 1 asubuhi misa parokia ya Mt. Bikira Maria Mpalizwa iliopo mbezi , saa 4 asubuhi mwili utaelekea Karimjee kwa ajili ya kuagwa, na saa 8 mchana mwili utaelekea airport tayari kwa safari ya Songea. Mazishi yatafanyika tarehe 3/3/2015 kijijini kwake Lituhi.
Kufuatia Msiba huu shughuli za kamati hazitakuwepo kwa kesho tarehe 2/3/2015. Ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe na mwingine.
IMETOLEWA NA;OFISI KATIBU WA BUNGE1.3.2015

 

10 years ago

Vijimambo

Video:Huwezi kuamini kama huu ni msiba, mke wa marehemu akavalishwa na shela kabisa



Sio tukio la kawaida kukutana na mtu kavaa gauni la harusi kwenye mazishi.. kwenye headlines za 254 jirani zetu wa nguvu Kenya kuna hii stori kutoka Kaunti ya Vihiga, unaambiwa mwanamke aliyefiwa na mume wake akalazimishwa kuvaa gauni ambalo anavaa bibi harusi wakati wa kufunga ndoa, alafu safari ya kwenda kwenye mazishi ikaanza.Mary Akatsa ni kiongozi wa Kanisa la Jerusalem Church of Christ alikuwa akiongoza kila kitu mpaka mazishi yalipoisha, ukicheki kwenye hii video huyo mama anaonekana...

 

10 years ago

Michuzi

JAMBO LEO YAICHABANGA BODABODA FC TAMASHA LA BODABODA UKONGA

 Mlinda mlango Maganga Benjamin wa timu ya Bodaboda Wilaya ya Ilala, akiudaka mpira katikati ya wachezaji wa timu ya Jambo Leo 'Wagumu Stars' Zahoro Mlanzi (kushoto) na Ali Salum wakati wa Tamasha la Bodaboda lililofanyika kwenye Uwanja wa Ukonga Gerezani, Dar es Salaam. Mgeni rasmi katika tamasha hilo alikuwa Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa. Jambo Leo ilishinda mabao 2-1. Moja ya kizazaa langoni mwa Bodaboda FC iliyosababishwa na washambuliaji wa Jambo Leo Mshambuliaji wa timu ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Snura akwepa ‘viroba’ stejini

snura1NA RHOBI CHACHA

KATIKA hali isiyo ya kawaida msanii wa filamu na muziki, Snura Mushi, alijikuta akirushiwa pombe zilizokuwa katika vifuko vidogo maarufu viroba akiwa jukwaani kama njia ya kumshangilia kwa uchezaji wake.

Snura alipanda jukwaani na kuimba wimbo wake ulioshika chati nchini wa ‘Nimevurugwa’ katika onyesho la miaka 16 ya msanii Juma Nature lililofanyika katika ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala jijini.

Snura akiwa jukwaani, shabiki mmoja alimfuata na kumtunza kiroba kisha idadi...

 

10 years ago

GPL

PROFESA JAY AKIFANYA YAKE STEJINI

Mkongwe wa Hip hop nchini, Joseph Haule 'Profesa Jay' akifanya makamuzi ya hatari ndani ya Leaders Club.…

 

10 years ago

GPL

SHILOLE AFANYA ‘UTUNDU’ STEJINI

Chande Abdallah
STAA wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Zuwena Mohamed 'Shilole' juzikati aliwatega vidume baada ya kufanya utundu wa aina yake kwa kuwaita jukwaani na kucheza nao wakati akipafomu kwenye shoo maalum ya Pasaka iliyodhaminiwa na Vodacom mwishoni mwa wiki. Mwanadada Shilole 'Shishi Baby' akionyesha mbwembwe zake stejini na mmoja wa mashabiki wake. Tukio hilo lilinaswa sawia na paparazi wetu maeneo ya Coco Beach...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani