Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHILOLE KIUNO AJIPA JUKUMU LA KUMLEA MTOTO MDOGO ALIYEKIMBIA KWAO KUOLEWA!




Muimbaji wa ‘Namchukua’ Shilole, ameamua kumchukua binti aitwaye Pendo baada ya kutoroka nyumbani kwao Morogoro akikimbia kuozeshwa kwa lazima. Shilole ameposti picha Instagram na kuandika:Jaman kwa wale mbao leo mmeskiza leo tena ya clouds fm na @dahuucloudsfm milipata kuskia story ya huyo bint hapo kwenye picha! Kuwa ametoroka kwao tanga kuja dar kwA sababu ya kulazimishwa kuolewa akiwa na umri mdogo kiukweli niliposkia hivyo ikaniuma sana nikiwa kama mwanamke kama pia nikaona bora...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Shilole Amchukua Yule Binti Alietoroka Kwao Kwa Sababu ya Kulazimishwa Kuolewa

"Jaman kwa wale mbao leo mmeskiza leo tena ya clouds fm na  milipata kuskia story ya huyu binti hapa kwenye picha!

Kuwa ametoroka kwao Tanga kuja Dar kwa sababu ya kulazimishwa kuolewa akiwa na umri mdogo kiukweli niliposkia hivyo ikaniuma sana nikiwa kama mwanamke kama pia nikaona bora nimchukue mpaka hapo familiya yake itapoMua kujitokeza mm ni moja wapo ya changanoto nying nilizozipita nilipokuwa igunga watoto wadogo kubakwa kupewa mimba wakiwa wadogo na hamna sheria yeyote...

 

10 years ago

GPL

SHILOLE: BILA KIUNO NISINGEFIKA ULAYA!

MSANII wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kwamba shavu la shoo alilopata la Bara la Ulaya limetokana na kukata kwake kiuno hivyo mashabiki kuvutiwa naye. Msanii wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na AT, Uingereza. Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili akiwa barani humo anakoendelea kufanya shoo, Shilole alisema juhudi zake binafsi ndizo zilizompa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mke wa Mvungi akubali kumlea mtoto Nasra

Mke wa Rashid Mvungi, baba mzazi wa Nasra (4) aliyefichwa kwenye boksi kwa miaka minne, amekubali kumlea mtoto wake huyo wa kambo kwa hali na mali.

 

10 years ago

Bongo Movies

FINALLY! Wema Sepetu aamua 'kuolewa'. Aenda kumtambulisha mume nyumbani kwao.

Kwa mujibu wa tovuti ya Mange, inasemekana mwanadada Wema Sepetu ameamua kufanya kweli na kwenda kumtambulisha mume wako mtarajiwa nyumbani kwako Singida tayari kwa mipango ya ndoa.

Kupitia picha iliyowekwa kwenye tovuti hiyo, inayomuonesha mwanadada Wema akiwa na pete ya ndoa kidoleni anayodaiwa kuvalishwa na mchumba wake huyo ambaye wapasha habari wa hapa mjini wanadai ni yule tajiri wa Uganda - Ivan aliyekuwa mume wa mwanadada Zari ambaye kwa sasa ni mpenzi wa ex wa zamani wa Wema –...

 

10 years ago

Bongo5

Chris Brown na mzazi mwenzie waweka tofauti pembeni kumlea pamoja mtoto wao Royalty

Chris Brown na mzazi mwenzie, Nia Guzman wamemaliza tofauti zao ili kushirikiana pamoja kumlea mtoto wao, Royalty mwenye umri wa mwaka mmoja. Vyanzo vilivyo karibu na Chris na Nia vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa wawili hao hivi karibuni walikubaliana kumlea mtoto wao kwa amani. Wameamua kumpeleka pamoja kwenye mazoezi ya kuogelea, shuleni na michezo mbalimbali. […]

 

11 years ago

GPL

SIMULIZI YA AUNT EZEKIEL: ILIKUWA AOLEWE AKIWA MDOGO, AKATOROKA NYUMBANI KWAO!

Aunt Ezekiel. BAADA ya wiki iliyopita kumaliza mahojiano na Miss Tanzania 2006 aliye pia mwigizaji wa sinema za Bongo, Wema Isaac Sepetu, wiki hii tunaye supastaa mwingine. Anaitwa Aunt Ezekiel Grayson, si jina geni kwa wadau mbalimbali wa burudani nchini. Ni mrembo ambaye amepata jina kubwa kupitia sanaa yake ya uigizaji wa filamu aliyoianza miaka saba iliyopita.
Msanii huyo ambaye ni mtoto wa damu wa aliyekuwa mchezaji...

 

10 years ago

Vijimambo

Kinenuka..Audio: Shilole na Nuhu Mziwanda wameongea haya juu ya kuachana kwao walipo hojiwa


Ugomvi baina ya wapenzi waliodumu kwa takribani miaka miwili namzungumzia Shilole na Nuhu Mziwanda umeonekana kuthibitishwa kuwa sio kutafuta Kick kama ilivyo dhaniwa bali niukweli wamemwagana kama wenyewe walivyo thibitisha kwaGossip Cop wa XXL ya Clouds FM.
Shilole ameweka wazi kuwa Nuhu kwake sio mpenzi tena na ikibidi kutafuta mwingine atakaye weza kumfaa na kukaa naye maisha yakaendelea, Akimainisha kuwa walishafanya ngoma ya pamoja lakini hawezi kuitoa kwa sasa kutokana na kuachana...

 

11 years ago

Habarileo

Mtoto akimbia kwao viboko, mijeledi

MTOTO mmoja mkazi wa wilayani Bunda mkoani Mara, amelazimika kukimbia kwao na kwenda kwenye nyumba ya mtu mwingine katika mtaa mwingine, kukwepa viboko.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani