SHINDANO LA MODEL OF TOURISM KUFANYKA NOVEMBA 22 MWAKA HUU JIJINI ARUSHA
Mkurugenzi mkuu hifadhi za Taifa ,Tanzania Bw. Allan Kijazi (mwenye miwani) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa shindano la Model of Tourism Tanzania mara baada ya kufanya ziara yao katika makao makuu ya TANAPA jijini Arusha.Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog16 Oct
Kamati ya Bunge ya Bajeti kuanza vikao vyake Oktoba 13 hadi Novemba 2 mwaka huu jijini Dar
Kamati Oct 2014.doc by moblog
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Kesi ya Macha Novemba 18 mwaka huu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu juzi ilishindwa kutoa uamuzi kama inayomkabili mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Hans Macha kama ana kesi ya kujibu ama la. Hali hiyo ilitokana na Hakimu...
10 years ago
GPL
RUFAA YA PISTORIUS KUSIKILIZWA NOVEMBA 3 MWAKA HUU
10 years ago
Michuzi
KESI YA MDEE KUANZA KUUNGURUMA NOVEMBA 16, MWAKA HUU

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepanga kusikiliza maelezo ya awali dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Kawe, Halima Mdee (35) na wenzake wanane wa Chama Cha Demekrasia na Maendeleo wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri halali ya Jeshi la Polisi na kufanya mkusanyiko isivyo halali kwa lengo la kwenda Ikulu.
Kesi hiyo ilitajwa leo na Hakimu Mkazi Janeth Kaluyenda.Mbali na Mdee, washtakiwa wengine ni, Rose Moshi (45), Renina...
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
ACT kufanya mkutano mkuu Novemba 20 mwaka huu
CHAMA Cha Alliance for Change and Transparance, (ACT-Tanzania), kinatarajia kufanya mkutano mkuu maalum wa Taifa wa chama hicho Novemba 20 mwaka huu. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa muda...
10 years ago
Vijimambo
MECHI KATI YA TANZANIA NA ALGERIA KUCHEZWA NOVEMBA 14 MWAKA HUU

Taifa Stars inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager itacheza mchezo huo dhidi ya Mbweha wa Jangwani siku ya Jumamosi Novemba 14, na mchezo wa marudiano kuchezwa siku tatu baadae Algeria 17 Novemba, 2015.
Kikosi cha Stars chini ya...
10 years ago
Michuzi
STARS KUCHEZA MCHEZO WA MARUDIANO NOVEMBA 17 MWAKA HUU ALGERIA

10 years ago
MichuziPAPA WEMBA KUTUMBUIZA TAMASHA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL NOVEMBA 6-8 MWAKA HUU
10 years ago
MichuziFAINALI ZA SHINDANO LA TMT KUFANYIKA AGOSTI 22 MWAKA HUU