Shirika lapiga jeki dawati la wanawake
SHIRIKA la misaada la Action Aid limetoa msaada wa vifaa mbali mbali, ikiwemo kompyuta kwa Jeshi la Polisi Mahonda Mkoa wa Kaskazini.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Mar
Shirika laipiga jeki shule Mtwara
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli la China (CPTDC) kupitia mradi wake wa ujenzi wa bomba la gesi limetoa msaada wa vifaa vya kujifunzia na kufundishia pamoja na vifaa vya michezo...
10 years ago
Habarileo30 May
Wanawake kupigwa jeki wawe wabunifu
MKURUGENZI wa Utafiti na Maendeleo kutoka Wizara ya Kilimo,Chakula na Ushirika, Dk Fidelis Myaka amesema wizara hiyo itaendelea kuwasaidia wanawake nchini kuwa na ubunifu wa kiteknolojia na zana za kilimo ili kuwapunguzia kazi na kuokoa muda wa kufanya kazi za nyumbani.
5 years ago
MichuziWanawake Njombe wawapiga jeki mahabusu na wafungwa
11 years ago
Michuzi17 Feb
BENKI YA WANAWAKE TANZANIA YAJITOSA KUPIGA JEKI MAANDALIZI YA TUZO YA MWANAMAKUKA 2014
9 years ago
Mwananchi24 Dec
Shirika kuwawezesha wanawake kilimo cha mboga
5 years ago
BBCSwahili22 Feb
Mwanzilishi wa shirika la maarufu za misaada L'Arche, Jean Vanier alinyanyasa wanawake.
5 years ago
MichuziTazama jinsi Shirika la CAMFED Tanzania lilivyoadhimisha siku ya Wanawake Duniani
5 years ago
MichuziWANAWAKE HANANG' WANUFAIKA NA MRADI WA KILIMO KUTOKA SHIRIKA LA OXFAM & UCRT
Felista Giyam mhasibu wa kikundi cha hamasa ameiomba serikali kuona uwezekano wa kutafuta masoko kwa mazao ya wakulima kwani wamekuwa wakilima kwa muda mrefu lakini wanakosa masoko hivyo kuwakatisha tamaa licha ya kukiri kuwa wamekuwa na faida kwa wastani japo soko linaendelea kuwa kikwazo licha ya kwamba pia wakulima wamekuwa wakitumia gharama kubwa katika pembejeo za kilimo
Anna Iselu mbaye ni mhasibu wa kikundi cha wanawake na vijana cha Gosanga anasema mradi huo utawafanya kutokuonekana...
10 years ago
Dewji Blog17 Apr
Shirika la Helvetas kutumia Bilioni 2.7 kuwezesha Wanawake wa Singida katika kilimo cha Mboga na matunda
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Helvetas Tanzania, Daniel Kilimbiya, akitoa mada yake ya utambulisho wa mradi wa awamu ya pili wa kuwawezesha wanawake kulima mboga mboga na matunda ili waweze kujikomboa kiuchumi. Semina hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aqua Vitae mjini hapa, ilihudhurudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo kutoka wilaya ya Singida vijijini, Iramba na Mkalama.
Meneja SIDO mkoa wa Singida Shoma Kibende, akitoa nasaha zake kwenye semina ya siku...